Monday 8 December 2014

NI UFUNGUZI WA NALPHIN HOTEL& NIGHT CLUB,ILIKUWA NI SHIDAAA.... BALOZI KAGASHEKI MGENI RASMI

Mgeni rasmi Balozi Khamis sued Kagashekiakizungumza na umati wa wageni waalikwa walijitokeza kwenye sherehe ya ufunguzi wa Nalphin Hotel & Night club.


Mr & Mrs Tere Gama ndani ya ukumbi wa shughuri.
Vijana wa Jamco barbershop .
Bw Rahimu akiwa na Dj Aman Kabuga.
Mrs Naftari akiingia ukumbini kwa stail ya aina yake.
Watoto  wa Mkurugenzi wa hotel.
Sasa ikafika time ya Mkurugenzi kuingia,nae akaingia akiwa na mwanae wa kike wa kike,hakika ukumbi ulizizima .
Nyimbo ya dini ya Kwa Neema ikatawala.
Mc Dude akiwa kazini,ilikuwa shughuriiiii
Dada Anitha muda wote alikuwa busy kuhakikisha manjonjo ya kila aina yanakuwepo.

Hatimae mgeni rasmi akaingia ukumbini.
Mwenyekiti wa kamati akatoa neno.
Likatolewa nen la uzima na mchungaji kubariki shughuri.
Kushoto ni Bw Sued Kagasheki akiwa MNEC wa Bukoba mjini Abdul Kagasheki.
Jumanne Bingwa katika pozz.
Mc Baraka akiteta jambo na Bw Rahimu.
Upande wa burudani ,ilikuwa noma sa naaa, Mashidonge .
Kijana wa Bukoba sports.blog akiangaika kupata matukio,
Ni binti mwenye mvuto na mnato,mwenye bashasha na sura ya kuita hata kama hujaitwa,Lulu akisheheresha.
Mc Dude na Lulu hakika waliitendea haki shughuri.
Mapaparazi wakiwa busy.
Bw Naftari akatoa neno na shukrani kwa wageni.
Rafiki wa karibu sana wa bw Naftari kutoka Bujumbura.
Balozi Kagasheki akapata wasaa wa kutoa neno kwa wageni waalikwa,kwa jukwaa hap ndo mahala pake.

Ikakatwa keki
Zikafunguliwa shampein.
Meneja wa CRDB Bukoba akisalimiana naMh Kagasheki.
Bw Didas Zimbihile akisalimiana na Mh Kagasheki.
FUTUI NI NOMAAA
Mbavu za watu jamaniiiii
Ni namna tu ya kuchukua matukio,ni shidaaaaa
Double M SOUND Chini ya Muumin.
Muumin akifanya yake.
Kila pande watu walitoka.
Watu Walipendeza.
Ni stail tu ya kucheza.
Zawadi time.
Kamati ikatoa zawadi.
Watoto kutoka Tanga ni shidaaa.
Ni hatariiiiii
sharabalo wa kihaya akipewa mamb ya Tanga.
shidaaaaaaaaa

Huo ndio uzinduzi wa NALPHIN HOTEL & NIGHT CLUB MULEBA.

No comments:

Post a Comment