REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 KUPATIKANA LEO HII KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA GOLD CREST MWANZA.
warembo wakiwa katika ukumbi wa gold crest ,wakiwa wanapata maelezo kutoka kwa mwalimu wao warembo katika pozz mimi na wewe hakuna anaejua ni warembo kutoka mikoa sita ya kanda ya ziwa unacheki kuanzia mguu,harafu ujaji kivyako kwa vigezo vyako miguu ......... kila rakheri warembo
No comments:
Post a Comment