Extra bongo usiku wa jana walitoa burudani safi na kufanya mashabiki kuamka katika viti vyao na kuvamia jukwaa kwa kuguswa na burudani iliyokuwa ikitolewa . huku watu wakiendelea kumiminika kwa kasi katika ukumbi wa lina's na watu mzuka kupanda,burudani iliingia tafrani baada ya polisi kutoa amri ya kuzima muziki na kufunga majira ya saa 5.20 usiku. burudani iliyokuwa tayari watu wameipata ilibadirika na watu kuwa na uzuni ghafla na watu kila mmoja kwa staili yake kujiuliza bukoba kulikoni mbona kama tuko kizuizini, ni maneno yalisikika miongoni mwa mashabiki walioonyesha kukerwa na kile kilichofanywa na polisi. limekuwepo tatizo swala la kufunga mapema burudani mkoani kagera kufuatia agizo la mkuu wa mkoa wa kagera kanal fabian massawe, kuleta bendi mikoani ni gharama kubwa na hizi bendi zinakuja mara chache sana,sasa kwa nini serikali inayojari watu wake isilitazame swala hili,lakini pia hawa wafanya biashara wanalipa kodi za serikali na hili waweze kulipa kodi hizo ni katika kulete burudani watu waingie,sasa kama watu bado wanaingia ukumbini ,huku wanafunga inakuaje,ni mmoja wa shabiki alisikika akilalamika, JAMANI KULIKONI KAGERA

jukwaa lilivamiwa

banza stone

ilikuwa bonge la show

Mzee wa kurap

Thomas mzuka umepanda

kimobitel

watu wakicheck show


mzee wa matv

abdulazack majid nae alikuwepo

mie na ndovu ,na ndovu na mie

watu katika mapozzzzz

unaona, bojo mbazanaaa

ilikuwa balaa jamaa katika jukwaa usipimeeee


mwinyi katika

mama eliza

nakukubari ali choki unatisha japo kanunue maji

mama chui, maua daftari si mchezo

mama sogea karibu,thomas bia awezi kuisahau

jamani alichoki noma

vareliani katika harakati

wamama walichomoka

ingia kati ukatike,katika, katika....

kila mmoja alionyesha uwezo wake


watu waliselebuka

mama hawa nae alikuwepo


kwa jinsi show ilivyokuwa watu walikuwa makini

ni balaaa

da kumbe extra bongo nomaaa

wanenguaji walikoga nyoyo za mashabiki

Mashabiki wakiburudika
No comments:
Post a Comment