
Mrembo Lucy Charles akitabasamu baada ya kuvikwa taji la Redd's miss Kanda ya Ziwa usiku huu.
Kinyanganyiro
cha kumtafuta mnyange wa Kanda ya Ziwa kwa mwaka 2013, kimeteguliwa
usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest baada ya Mrembo Lucy
Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo
wengine 17 waliojitokeza.
Mrembo huyo aliwapagawisha mashabiki wa urembo waliofurika katika
ukumbi wa Hotel ya Gold Crest baada ya kujibu swali kwa ustadi
lililouliza Ni changamoto ipi kubwa walionayo vijana wa leo.
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Eshe Rashid na mshindi wa tatu ni Salsha Isdore

Vinara
watatu .katikati ni Lucy Charles mshindi wa Redd's miss Lake zone 2013,
kulia ni Eshe Rashid kutoka Mara na kushoto ni Salsha Isdore kutoka
Geita na wote watatu wanaenda ngazi ya taifa.

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga

Naibu
Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Yussuf Makamba(kushoto) na
kulia ni Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula wakiwa ni wageni rasmi

KIushoto ni Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akiwa na wageni wengine kulia.

Show ya ufunguzi kwa warembo ikaanza

Warembo wakionesha vipaji vyao

Furaha ikitanda kwa kila mmoja

eee..na yule yumo...!!!

Kila mrembo akiesha uchezi wake hapa na makeke zaidi ..kiufundi kujitengenezea nafasi ya kushinda taji

Baadhi ya mashabiki wa urembo waliofurika katika ukumbi wa Hotel ya Gold Crest

Hapa kila mmoja alikuwa na wake wa kumchangua na kila mmoja akijiuliza swali nani kutwaa taji !!

Jamal Kalumuna kutoka Bukoba akiwa na furaha baada ya kuwaona warembo jukwaanin

Meza kuu Viongozi mbalimbali

Mwandaaji wa Miss Redd's Lake Zone 2013 akisikiliza neno kutoka kwa
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga

Mc Kulia akiwa na Mwandaaji ambaye anahusika na Swala zima na akiwa anatoka Clara Salon & Boutique Bi Clara Mwassa.

Furaha zikapenya kwa Viongozi hawa ambao ndiyo walikuwa majaji

Usipime!!!...

Mashidonge- akicheza na Moto kwenye ukumbi huu wa Gold Grest Hotel

Umati wa watu ukimwangalia kwa makini Mashidonge wakati anacheza na Moto usiku huu.

Mashidonge akitengeneza alama jukwaani!!...

Full Mzuka!!

Michuzi ikimfata alipo!!

Miss Talent naye akuwa Nyuma Babylove Kalalaa akaanza kuonesha vitu vyake ...kipanji toka moyoni.

Babylove Kalalaa akiwa na nyoka wake jukwaani kuwapagawisha mashabiki wake.

Naibu
Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Januari Yussuf Makamba ilibidi asimame
maana ilikuwa kazi kweli kweli na kwa mara ya kwanza namuona na yeye
anachukua kumbukumbu kwenye simu yake.!!

matukio ..tunachukua na sisi...

Babylove Kalalaa akijikusanyia makato!!

Mnataka tena jamani!!!

warembo wote wakaitwa !!

Kiongozi wa BHATT ELECTONICS LTD Akiteta baada ya kuchagua warembo na
kuwapatia kazi kwenye ofisi zao. Kumbuka BHATT ni wakala wa Samsung.

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akijiandaa kuanza kuita 10 Bora hapa

Washiriki wote wazuri lakini tunataka kumi kwanza kisha tano!!

Top Ten hii hapa

Tano Bora

Ommy Dimpoz akitumbuiza

Ommy Dimpoz akishambulia jukwaa

Ommy Dimpoz akipagawisha mashabiki wake

Tuendelee ama tusiendelee!!

Dadaz wakidata na nyimbo za mkali Ommy Dimpoz

Pongezi!!!

umefanya kazi kijana!!

Michael Ross Kutoka Uganda nae akaingia kwa mitindo ya aina yake!!

Dadaz wakimsonga Michael Ross kutaka kumshusha chini kucheza nae!

Raha jipe mwenyewe!!

...Omama yoyo!!

wewe tu ...nipe tano kwanza!!


kamata kitita chako Mrembo!!!

Zawadi zako hizi!!


ushindi mtamu jamaniiii!

Picha ya pamoja Waandaji na majaji wa Redd's miss Lake zone 2013

Wanyange !!
