
ni mabaki ya duka la vitu mbalimbali kwa matumizi ya binadamu lililoungua usiku wa jana majira ya saa nane usiku

ni majanga



ni majonzi makubwa mama na watoto

ndugu leticia mpilla mmiliki wa duka lililoungua

chanzo cha moto kwa mujibu wa leticia ni jiko la mkaa
No comments:
Post a Comment