Tuesday, 2 August 2016
MUFTI WA TANZANIA ATEMBELEA KABURI LA ALHAJI JAFFARI SAKIBU BWANIKA NA KUSHIRIKI DUA MAALUMU KAMACHUMU BUKOBA.
Shekhe kutoka Uganda,kilemba chake kilikuwa kivutio kikubwa.
Bw Kandanda akiwa na pilika za hapa na pale
Mufti akipokelewa na kiongozi wa familia Abdulfifuu Jaffar Bwanika.
Wakiwa makaburini.
Waziri wa viwanda na biashara Charles Mwijage(kushoto) akiwa na balozi Ngemera.
Kushoto shekhe wa mkoa kagera Haruna kichwabuta akiwana Mufti i Zuberi.
Waziri Mwijage akiwa na diwani Kamala.
Shekhe Mustafa.
Shehe mustafa akiomba dua.
Subscribe to:
Posts (Atom)