Na Faustine Ruta, Bukoba
Leo
Ijumaa kwenye Party ya siku ya kuzaliwa kwake Malkia Bi. Rukia Kassim
Mawenya amezawadiwa gari aina ya Nissan Murano toleo la mwaka 2011
kutoka kwa Mumewe Simba Mawenya. Simba amemthamini na kumshtukiza kwa
kumzawadia gari hilo Nissan huku yeye Malkia akiwa Hajui lolote!! Malkia
baada ya kukabidhiwa Gari hilo lenye Namba za Usajili T821 CVZ
machozi ya Furaha yakimtoka kwa muda huku akiwa na furaha tele kwa
ZAWADI hiyo kubwa kutoka kwa Mzee. Malkia hakuwa na lingine alifuta
machozi na kumshukuru Mungu na mume wake huyo aliyempa zawadi hiyo kwa
ajili ya mizunguko yake ya hapa na pale lenye Thamani ya zaidi ya m30.
Pati hii iliyofanyika usiku wa leo katika Ukumbi wa Lina's Club uliopo
Bukoba Mjini iliyoudhuliwa na watu maarufu wengi wengi wamepongeza
Mumewe Simba kwa 'suprise" ya Birthday Party ya nguvu huku wengi wakiwa wameduwaa kwa kitendo hicho.
Malkia
Bi. Rukia Kassim Mawenya akiwa kwenye mshangao wa ajabu baada ya kupewa
Mkoko wa hatari na Mumewe Simba Mawenya huku machozi ya Furaha
yakimtoka!

Malkia Bi. Rukia Kassim Mawenya akiwa kwenye mkoko aina ya Murano

Malkia Bi. Rukia Kassim Mawenya akiwa ndani ya Gari hilo akielekezwa jambo na Mumewe Simba

Hepi besdei tu you! ni rafiki karibu akimpongeza japo kwa mabusu !! baada ya kupewa Zawadi

Malkia
Bi. Rukia Kassim Mawenya akiwa na rafiki yake Chui" huku rafiki yake
nae akishangaa zawadi hiyo ya Gari aina ya Nissan Murano ya mwaka 2011.

Saluti!!!

Gari aina ya Nissan Murano likiwa ndani ya Ukumbi wa Lina's

Sherehe hiyo iliudhuriwa na familia, marafiki na watu wa karibu.

Zawadi ya Gari kwa Mkewe Bi. Rukia Kassim Mawenya likiwa limepaki ndani ya Ukumbi wa Lina's Club

Simba
akiongelea sherehe hiyo alisema, "She is a wonderful woman who means a
lot to me. Special people deserve special things like this.”

Kwanza
napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpaka leo hii na kutimiza
umri nilioufikia, wapo wengi wao hawajafikia umri wangu, Pili
nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa
nilipofka, mwisho ni kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa
nami tokea nazaliwa mpaka sasa, Nawapenda wote...

Niambie Shoga!!! embuuu!!!

Wote
mapema walisogea kushuhudia kwa macho zawadi kwa Malkia...Wakiwa
hawajuhi kinachoendelea wengi wakijiuliza ni zawadi gani???

Suprise ya Nguvu ....mara...shiiiiiaaa!!!!

Ni zawadi gani?? Lakini!!!! Mbona hawasemi???

Mama na Mwana kwenye Mkoko!!!

Mr & Mrs

Picha yao ilipigwa!!!

Salaam za hapa na pale!!!

Furaha ya Hepi Basdei....Malkia akifunguka mpaka mwisho....32 yote shaaa!!!!

Mwenyekiti
Bw. Ernest Nyambo akiteta jambo huku akipitia faili lenye Leseni ya
Gari hilo aina ya Nissan Murano iliyotengenezwa mwaka 2011 na leo hii
2014 akipewa zawadi Malkia wa Bukoba Bi. Rukia.

Mume wa Malkia Bw. Simba Mawenya akitoa neno

Mwenyekiti
wa Kamati Bw. Ernest Nyambo nae akiteta jambo kuhusu Party hiyo ya
sherehe ya Kuzaliwa kwa Malkia Rukia Kassim Mawenya kwenye Ukumbi wa
Lina's Club mjini Bukoba Usiku huu.

Dada Nance nae alikuwepo

Mapeeema walipata Supuuu!!!!

Wazee wa Town!!!

Super Mkude!! Mr. Mutensa naTicha Leo Leo Mr. Bube.

Mr. Bube na Mr. Mgisha wakibadilishana mawazo mezani.

Ticha akicheki kupata Ukodak!

Shampeini ilifunguliwa na yeye mwenyewe Malkia! Chezea Malkia wewe!!

Punde bomu likalipuka!!! Mc Jerry (kulia) akatetemeka!!!

Karibu Mume wangu...Kipenzi..!

Nimekuchagua wewe!!! Karibu!!!

Mr & Mrs wakifanya yao mbele ya waalikwa!!! Mwenye wivu ajinyonge!!!

Keki nayo ilikatwa kuliwa...hakika ilikuwa ni Party ya Mwaka!!

Ta..taratiiibu..!

Malkia akiendelea na zoezi la kukata keki..tayari kwa kuliwa!

Upo hapa!!!

Malkia akitoa keki kwa Mr. Mugisha!

Meza zilichafuka!

Keki ikiendelea kufanyiwa kile ambacho inatakiwa kufanywa...ni kata na kuliwa!!

Karibu...

Gilbert wa G-Smart!! Na Mama pembeni

Mama mzaa Chema alipewa nyooote Keki!!

Mwenyekiti wa Kamati nae alilamba Keki!

Hapa mjini stori zikiendelea...

Taswira

Zoezi la Kumpongeza siku ya Kuzaliwa kwake lilianzia hapa!!! kila mtu ukumbini alitoa tano!

Hongera sana Kaka!! Mzidi kushaini!

G-Smart kama kawaida yake Furaha,...pasipo kuteleza!

Wengine walifunguka zaidi!!!

Kwa Kahabuka Unataka nini!!! Muziki tuu!!

Mc Jerry akipamba kazi yake

Dada Mgeni kwenye poziii

Pozi!

Dada Maua alishuhudia Party ya rafiki yake

Burudani zilianza kushika kasi!

Kaka Mkuu akifunguka!

Burudani kutaoka Nyumbani kwa Msanii Shemela ilichukua nafasi ....watu wakanyanyuka!!

Shemela akiwakutanisha watu pamoja!!

Kaka Mkuu (kushoto) akibanjuka juu!!

Msanii Mwingine wa hapa Kamdingi na Mc Jerry wakikamua vilivyo!

Dada Maua kiti kinataka kuanguka!!!

Dada Hope (kulia) akijionea live bila chenga!!!!

Wamekutana: Climax mezaji Kulia ni Mwinyi Veko...akitokelezea kwenye Ukodaki

Salum Bonge(kushoto) nae alikuwepo!

Party ya Nguvu!!

Malkia na wanae!

Chui....Furaha zilikaba!

Mume wa Malkia alikuwa na neno kwa Mkewe na hapa alipata nafasi...

Simba
alianza kwa kushusha pongezi zake kwa mkewe na kuwashukuru wote
walikuja mahala hapo! Pia alitoa neno kwa Ujumla! Mbele ya Mwenyekiti wa
Kamati Bw. Ernest Nyambo.

Safi sana!!!! Kaka Mkuu Ernest Nyambo

Nae Kaka Mkuu Ernest Nyambo akawa na lake kwa Familia ya Malkia....

Furaha ikapita!!

Mifano ikapita!!! Wakaiga jambo!!

Mr. Bube a.k.a Leo Leo hakuishia hapo alimwaga wekundu wa Msimbazi kwa Familia hii ya Malkia.

Pongezi kwenu!!!

Simba akipewa mkono na Mr. Bube

Mwenyekiti Mr. Ernest Nyambo nae alitoa pongezi zake za nguvu kwa Familia ya Malkia..

Zawadi zilianza kumiminika!!!

Chezea Maua wewe!!!! zawadi zikipelekwa kwa Malkia..

Hongera sana dada!!!

Hakika Party hii ilikuwa balaaa!!

Zawadi zikimiminika meza kuu kwa Malkia..

Safi sana!!

Kamata hii...

Yes!!!

Msafara!! Zawadi!!

Mambo yaliwazidia wakaanza kuliwasha!!

Simba akiyarudi mangoma!!!

I love you ya Kassim Mganga ilipanda mlima!!!

Mbele ya Wazazi na Umati watu!!!

Malkia Wangu!!!

Chezea Mr. Bube!!!