matukio mengine yanafata..
Saturday, 15 June 2013
MARIA TUBETI ATWAA TAJI LA REDD'S MISS KAGERA 2013
HAPPYNESS WATIMANYWA NDIE MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI
Mshiriki wa Kinyanganyiro Cha Redds Miss Kanda ya Kati Hawa Nyange akijitambulisha
Mmoja wa Washiriki wa Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya kati akijitambulisha mbele ya hadhara
Muda wa Kuonyesha Vipaji ukawadia
Mavazi ya Ubunifu
Walimbwende walioingia hatua Ya Tano Bora
Wadau wa Miss Tabora wakifuatilia shindano kwa ukaribu kabisa
Mratibu na mwandaaji wa Redds Miss Kanda ya Kati akitoa Maneno huku pembeni yake ni Mgeni Rasmi (katikati) Mh John Komba akiwa na baadhi ya wabunge wenzake kutoka Zanzibar
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Amin akicheza na mmoja wa mashabiki wake ambaye alikua akiigiza kama Linah jana wakati wa shindano la kumtafuta Redds Miss Kanda ya Kati
Mmoja wa mashabiki wakimtunza Mwanamziki wa Kizazi kipya Amin wakati alipokuwa akitoa Burudani Jana katika Kinyanganyiro Cha Kumtafuta Mlimbwende wa Kanda ya Kati
Mshindi wa taji la Redds Miss Kanda ya Kati Happiness Watimanywa (Katikati) akiwa na nyuso ya furaha mara baada ya kamati ya majaji kumtangaza mshindi katika kinyanganyiro kilichoshirikisha walimbwendwe 12 kutoka Mikoa ya Dodoma, Singida, Tabora na Kigoma Wa Kwa Kwanza kulia Ni Mshindi wa Tatu Jackline huku Mshindi wa Pili ni ( Wa kwanza Kushoto) Sabrina Juma Kutoka Mkoani Tabora
Jaji Mkuu wa Shindano ya Kumsaka Mloimbwende wa Kanda ya Kati Mh Hashim Lundenga Akipungia mikono watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa Kanda ya kati anapatikana
Friday, 14 June 2013
KESHO NDIO KESHO REDD'S MISS KAGERA 2013 LINA'S HAPATOSHI,WAREMBO WATEMBELEA WADHAMINI NA WAKO TAYARI 15-6-2013 SHINDANO
Warembo wanaowania taji la redd's miss kagera 2013 wakiingia studio za kasbante redio 88.5 kujionea shughuli mbalimbali zinavyofanyika,lakini pia walipata nafasi katika kipindi cha the score walipata nafasi ya kuwaeleza wasikilizaji jinsi walivyojiandaa jumamosi 15-6-2013 lina's
dj slay akilonga na warembo
dj y man selector
warembo pia walitembelea victorius peach hotel ambao pia ni wadhamini
mkufunzi akiwa na warembo victorius peach hotel
mratibu wa mashindanojamal kalumuna akiwa na meneja wa victorius peach hotel
picha ya pamoja victorius peach hotel
meneja akitoa maelezo kuhusu victorius hotel
baby lv mkufunzi katika pozzz
hapa ni walkgard hotel transit
warembo wakiwa katika moja ya chumba cha walkgard hotel transit
wakiwa katika picha ya pamoja,inapendeza
pozzz
pia walitembelea hotel kubwa ya walkgard
warembo wakiingia walkgard hotel
kasuku wapo walkgard
chezeea baby love weweeee
bonge la poz
warembo wanapendez
baby love
pozzzzzz
warembo wakiingia jamco barber shop
maelezo ndani ya jamco barber sho
pendeza sana....
pia walitembelea ofisi za jamco video production,basi usikose lina's 15-6-2013
Subscribe to:
Posts (Atom)