AJALI MBAYA YATOKEA BARABARA YA ARUSHA MAENEO YA SOKO KUU BUKOBA
Gari iliyokuwa inawafuata maharusi kuwapeleka kanisani imejikuta inaishia barabara ya arusha maeneo ya soko kuu bukoba baada ya kugongana na gari jingine,gari ili hatukuweza kupata jina la mmiliki ila inasemekana ni gari la daktari anaefanya kazi shirika la ICAP bukoba Huyo mwenye suti nyeusi ndio inasemekana ni dakitari anaemiliki gari nyeusi na huyo mwingine inasemekana ni mfanyakazi wa takukuru bukoba anaemiliki gari nyekundu
gari hili liligongwa ubavuni
hapa kila mmoja huongea lake wakati kakuta ajali tayari dah kabla ya kupaki gari lolote linaweza kutokea. kabla wanausalama barabarani mnaelewana watu mnaondoka,naona ilikuwa hivyo si unaona... hapa kama kwenye harusi hakuna fungu la dharula inakuaga shida jamani njooni kuna ajali......
wananchi tena wakishaona kitu ,tena maeneo ya soko, kujikusanya huwa ni dakika chache pamejaa gari zote zilitoka kwenye eneo la ajali na kuchikichia,yawezekana kwa makubariano maalumu
No comments:
Post a Comment