Mmiliki wa mtandao wa Jamcobukoba.blogspot akiwa na familia yake waliofika katika shule ya Kemibos kwa ajili ya kufuturisha wanafunzi 150 wanaofunga wa shule ya msingi na sekondari,ikiwa ni sadaka yao kwa ajili ya mwezi mtukufu wa ramadhani.
Wa kwanza kulia na Mrs Kareju ambae pia ni Mkurugenzi wa shule ya Kemibos akisaidiana na Mama Jamco kuhudumia wanafunzi futari
Kushot ni Bushira, Jamco, Meneja wa shule Mr Katiti na Shafi ni wakishuhudia mambo yanavyokwenda
Wanafunzi wakiwa kwenye mstari ili waweze kupata huduma
Wanafunzi wakifuturu
Hakika ilikuwa nzuri sana
Watoto walifurahi
Pongezi kwa Mama Achi alieandaa futari ya watoto hawa,Mama achi ni mpishi anaepika chakula kwa ajili ya shughuli mbalimbali.
Ni marafiki wa familia ya Jamco walioongozana nao wakiahakikisha watoto wanafurahia
Mkao wa wanafunzi wakifuturu
Mr Jamco akiwa na mwanae anaesoma shuleni hapo Khadija Jamal darasa la nne.
Mama Jamco na wanae baada ya kufuturisha, full shangwe
Ni mmoja wa wanafunzi alie soma dua ya kumshukuru mwenyezi mungu.
Ikisomwa dua ya kufunga shughuli nzima ya kufuturisha.Jamcobukoba.blogspot.com inawatakia waislamu wote wamalize salama mfungo wa mwezi wa ramadhani.