Wananchi wa Brazili waliopo Tanzania wakisheherekea kuanza kwa michuoano ya kombe la Dunia ilioanza jana nchini Brazili
Balozi
wa Brazili anaye wakilisha nchi yake hapa Tanzania Bw Frcisco Carlos
na Mkewe wakiwa wana sherehekea uzinduzi wa Kombe la Dunia ambalo
limeanza jana Balozi huyo aliandaa tafrija katika hoteli ya Serena
ambapo wabrazili waishio Tanzania walishiriki pamoja namarafiki
mbalimbali