ya Ijumaa "Boxing Day" kwenye kiota kipya Ukumbi wa kisasa wa Nalphin Hotel & Night Club kwa kiingilio cha kawaida cha Tsh.10,000 na VIP kwa Tsh.15,000/-
Mwadada Lady Mariam (kulia) akiimba kwa hisia mbele ya Mashabiki wake leo kwenye Sikukuu ya Krismas.
Lady Mariam na wenzake wakilitawala jukwaa
Mwanamuzi Lady Mariam akiimba moja ya wimbo wake uliotikisa wa Tindatine na Shabiki
BK Sande akiwekwa kati na waimbaji kutoka Uganda ulioambatana na Bosi wao Dada Lady Mariam wakiimba wimbo wa BK Sande wa "Omwana"