
kulia ni omary bakari,kapten mwasa aliekaa,faustin ruta na abdulazack wakiwa ofisi za kasibante redio leo kuwaabarisha wananchi kuhusu redd's miss kagera 2013 inayofanyika 15-06-2013 lina's

Bw. Jamali Kalumuna akizungumza na kuweka wazi kuhusu shindano hilo linalotarajiwa kufanyika tarehe 15.6.2013 kwenye ukumbi wa Lina's uliopo mjini Bukoba.

Bw.
Jamali Kalumuna(kushoto) akizungumza kuhusu ujio huo wa Redd's Miss
Kagera itakayofanyika Jumamosi Tarehe 15.06.2013 leo kwenye ofisi za
redio Kasibante fm(88.5) mjini Bukoba

Watangazaji wa Radio Kasibante Fm 88.5 wakiwa kazini leo hii

kushoto
ni omary bakari na kapten mwasa wakijibu maswali ya wasikilizaji wa
kasibante redio kuhusiana na redd's miss kagera 2013 siku ya jumamosi
15-06-2013

Capt. Mwassa Winton

Capt. Mwassa Winton akizungumzia Shindano hilo la Redd's Miss Kagera

Kulia
ni Bw. Faustine Ruta mwendeshaji wa mtandao wa Bukobasports.com naye
akiwakilisha kama mdhamini wa Redd's miss Kagera akiwa naye kwenye radio
ya kasibante fm Bukoba leo hii Asubuhi.

Patakuwa hapatashi siku hiyo!!!
No comments:
Post a Comment