

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya KAIDEP (kusoto) ambao ndio waandaji wa maonyesho haya ya sabasaba ndugu Deo akiwa na mh Revina jovin mwnyekiti wa wanawake mkoa wa kagera ccm na mh Deus mtakyawa diwani wa kata ya nyanga

ndugu Filimon akiwa katika maonyesho ya sabasaba


Hili ni jengo la ccm ambalo maonyesho ya sabasaba yanafanyika

ni mabanda ya vodacom nao wapo katika maonyesho ya sabasaba

mambo ya gas yanapatikana katika maonyesho

je unajari mazingira na uharibiwa wa misitu yetu,basi fika sabasaba bukoba upate jiko kwa bei poa.

majiko ya gas

karibu kwenye banda la LP gas
s

mafuta ya kula

banda la azam

banda la movit


hawa ni watangazaji wa bidhaa za movit kutoka nchini uganda

pilika za hapa na pale katika maonyesho ya sabasaba bukoba



banda la kasibante redio nalo lipo ,zinapatikana kadi za salamu kwa bei nafuu

urmbo wa kila aina utapata

madawa mbalimbali ya asili na ile ya kuongeza nguvu za kiume inapatikana japo kimauzo ndio inaongoza
kuna vitu vizuri sana ambavyo vimeletwa na wajasiriamali kutoka maeneo tofauti ndani ya nchi na nje ya nchi
No comments:
Post a Comment