MICHUANO YA KOMBE LA KAGASHEKI YAANZA LEO HII KWENYE UWANJA WA KAITABA BUKOBA. TIMU YA HAMUGEMBE IKITANDIKWA NA BAKOBA BAO 1-0
Balozi Khamis Kagasheki
akisalimiana na wachezaji muda mfupi kabla ya mtanange kuanza Balozi Khamis Kagasheki
ndiye anadhamini mashindano haya na hapa akisalimiana na wachezaji Kikosi cha Timu ya Hamugembe Kikosi cha timu ya Bakoba Waamuzi wa mchezo huu wa Bakoba na timu ya Hamugembe Wachezaji wa Hamugembe wakishangilia kwenda kuanza kandanda Mchezo ukaanza kati Wadau wakifatilia mechi hii ya ufunguzi leo hii kwenye uwanja wa Kaitaba Furaha ikatanda uwanjani Kaitaba baada ya timu ya Bakoba kufunga bao
No comments:
Post a Comment