
Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam mchana wa leo.

Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakipokewa kwa Shangwe Ikulu,Jijini Dar es salaam leo.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na mgeni wake,Rais Barack Obama wa
Marekani wakati walipokuwa wakielekea sehemu iliyoandaliwa kwa ajili ya
kukutana na kuzungumza na Waandishi wa habari Ikulu,Jijini Dar es salaam
leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa maelezo ya mti wa mpingo anaotaka kuupanda katika viwanja vya Ikulu

Picha Credit kwa Issamichuziblog
No comments:
Post a Comment