Mwenyekiti wa jumuia ya wazazi taifa ABDALAH BULEMBO amewataka viongozi wa chama na serikali waacha tabia ya kukaa maofisini waende kwa wananchi wasikilize kero zao na kuzitatua,amesema viongozi wamekuwa na tabia ya kutokwenda kwa wananchi na kukaa kwenye viti maofisini,pamoja na kuongelea mambo mengi aligusia swala la migogoro ya viongozi na uhai wa chama na jumuia zake,alisema imekuwa ni kawaida wanachama kutolipia ada kadi zao wakisubiri nyakati za chaguzi ili walipiwe ada na wanaotaka ubunge au nafasi mbalimbali katika chama kitu ambacho amekikemea na kusema chama hakiwezi kwenda kwa staili hiyo,ni wajibu wa kila mwanachama kujua wajibu wake wa kuimarisha chama ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya uwanachama kwa wakati yeye mwenyewe,akiwa katika mkutano wa hadhara kashai alitoa nafasi ya kuuliza maswali alikumbana na swali kuhusiani na viongozi waliotuhumiwa ufisadi ni hatua gani zimechukuliwa dhidi yao,mh bulembo alisema katika chama zipo taratibu zinazofanyika katika vikao vya ndani vya juu na wakibainika watawajibishwa, pia alimwagiza mwenyekiti wa mkoa ccm kagera kushughulikia kero kubwa kwa wananchi wa kagera kufunga mapema sherehe,tafrija au burudani kwenye kumbi za starehe au maharusi kufuatia agizo la mkuu wa mkoa wa kagera, amesema ni kero kubwa na ni kitu kinachofanyika kagera tu na wananchi hawatendewi haki,hivyo amewataka wahusika waache kabisa swala hili la kufunga mapema shughuli za watu kwani ni kero kubwa kwa wananchi wa kager


wanachama na viongozi wakiwa katika ukumbi wa ofisi ya ccm mkoa



kinyondo

kulia ni mkuu wa mkoa wa kagera kanal fabian massawe


katibu wa ccm mkoa akisoma taarifa ya chama ya mkoa

mwenyekiti ccm bukoba mjini yusufu ngaiza kushoto

mh malechera

wazeee





wanachama wakiwa ukumbi wa st fransis bukoba

katibu wa mkoa kagera ccm ngugu mushi

mwenyekiti wa mkoa jumuia ya wazazi mh kamugisha

tunakupenda mwenyekiti wetu taifa ongera kwa kura za kishindo Tanzania nzima


hilo jogoo mwenyekiti karibu bukoba


mama tunatambua mchango wako

alhaji abasi akiwa ameishapokea hati ya shukrani


mzee kaizirege akipokea hati ya shukrani kwa kuitumikia jumuia ya wazazi bukoba mjini zaidi ya miaka kumi
jamani acheni migogoro

mwenyekiti wa jumuia ya wazazi taifa Abdarah Bulembo akiongea na wajumbe wa almashauri kuu ya wilaya bukoba mjini

katibu wa mkoa kagera ccm mstaafu mzee kamareck akiongea na wajumbe


wajumbe wa almashauri kuu ya wilaya bukoba mjini
No comments:
Post a Comment