Katika pichaJamco akiwa na Ali choki mzee wa farasi, na katapila wakiwa katika mahojiano ya tv mapema leo katika hotel ya coffee,extra bongo wanafanya show leo 26-06-2013 jumatano katika ukumbi wa lina's kuanzia saa 12.00 jioni.

jamco akiwa katika mahojiano ya tv na kimobitel, na banza stone


super nyamwela na wanenguaji wakiwa na jamco kwenye mahojiano ya tv

mnenguaji mayoneise akieleza atakavyotoa burudani leo katika ukumbi wa lina

ngoja tuonyeshe kidogo tu.....

yaani nitakatika hapa cha mtoto......

mpango mzima ni ukumbini leo 26-06-2013 lina's kiingilio kawaida 7000, na vip 10,000 karibuni sana show inaanza saa 12.00 jioni
No comments:
Post a Comment