kila rakheri warembo
Saturday, 29 June 2013
REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 KUPATIKANA LEO HII KWENYE UKUMBI WA HOTEL YA GOLD CREST MWANZA.
kila rakheri warembo
NI KIVUMBI!! "REDDS MISS LAKE ZONE 2013" JIJINI MWANZA UKUMBI WA GOLD CREST HOTEL USIKU WA LEO!!
LINA ALLAN NDIYE MISS REDD'S KANDA NYANDA ZA JUU KUSINI 2013.
MSHINDI WA MISS REDD'S TANZANIA KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI LINA ALLAN AKIWA ANAFURAHIA BAADA YA KUWA MSHINDI WA KWANZA
MSHINDI WA MISS REDD'S TANZANIA KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI LINA ALLAN AKIWA NA WASHINDI WENGINE AMBAO WALISHINDA TANO BORA
MSHINDI WA MISS REDD'S TANZANIA KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI LINA ALLAN AKIVISHWA TAJI LA USHINDI NA MSHINDI AMBAYE ALIKUWA ANASHIKILIA TAJI HILO NAOMI JONES
WASHIRIKI WA MISS REDD'S TANZANIA KANDA ZA NYANDA ZA JUU KUSINI WAKIWA WANAONESHA VIPAJI
BWANA HIDAN ERICCO AKITANGAZA WASHINDI WALIOINGIA KATIKA TANO BORA
WASHINDI WALIOFANIKIWA KUINGIA KATIKA TANO BORA
Thursday, 27 June 2013
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI MSAIDIZI WA CHUO CHA POLISI DAR LEO
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia
wakati akifunga rasmi mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, leo Juni 27, 2013 kwenye
hafla hiyo iliyofanyika katika Chuo hicho kilichopo Kurasini jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha
Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa
na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta John
Makuri Imori, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha
Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa
na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Leah
Nicholaus Ncheyeki, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi
Cheti Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na
Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Akama Mohamed
Shaaban, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni
27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Askari wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, na kutoa heshima, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha
Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa
na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta
Leopord Nazarius Fungu, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo
hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha
Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa
na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta
Alekunda John Urio, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni 27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha
Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi
Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, S/SGT Juma Sadiki
Bahati, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo Juni
27, 2013 chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
RAIS KIKWETE AKUTANA NA KIONGOZI WA SHIRIKA LA UNDP,BI. HELEN CLARK,PIA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA OMAN IKULU JIJINI DAR LEO
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na
Kiongozi wa Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu
jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Kiongozi wa
Shirika la UNDP(UNDP Administrator) Bi. Helen Clark ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Spika wa bunge la Oman Mhe. Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wajumbe waliofuatana na Spika wa Bunge la Oman ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Oman Mhe.Sheikh Khalid Bin Hilal Al Mawaali na ujumbe wake ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.kulia ni Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai.
WAANDISHI WA HABARI WAWEKA KAMBI KARIBU NA HOSPITALI ALIKOLAZWA NELSON MANDELA
Rais
mstaafu wa Afrika Kusini NELSON MANDERA bado anahali mbaya ingawa bado
madaktari yana pigania uhai wake baada ya afya yake kuzorota mwishoni
mwa wiki......Richa ya hivyo imeonekana kuwa watu wamepoteza matumaini
na kujiandaa kwa loloye ambolo linaweza kutokea mda wowote.
Waandishi na vyombo vya habari viko karibu kabisa na hospitali hiyo kusubiri lolote litakalotokea .
Subscribe to:
Posts (Atom)











