
Timu zikisalimiana muda mfupi kabla ya mtanange kuanza

Timu zikisalimiana muda mfupi kabla ya mtanange kuanza hapa kwenye Uwanja wa Kaitaba

Picha ya pamoja Waamuzi wa mtanange huu na timu kapteini

Waamuzi wa mtanange huu kwenye picha ya Pamoja

Kikosi Cha Pamoja cha Timu ya Bilele

Kikosi Cha Pamoja cha Timu ya Kitendaguro pamoja na viongozi wao (kushoto)

Mchezaji wa timu ya Kitendaguro akitaka kumtoka mchezaji wa Bilele hapa...

Frii kiki kuelekea kwenye lango la timu ya Bilele

Majanga hapa mchezaji wa Bilele kaumia..na hapa anapata msaada wa haraka

Hatari kwenye lango la timu ya Kitendaguro

Mchezaji wa Bilele akisonga kwenda mbele ya lango la timu Kitendaguro

Shabiki wa timu ya Bilele akiwaamasisha mashabiki wenzake kuwapa sapoti wenzao uwanjani hapa.

Patashika hapa..mpira ukiwaacha wote ....

Diwani wa kitendaguro mh samwel ruangisa na mama wakiwa wanaangalia mtanange wa timu yao ya Kitendaguro jioni hii
No comments:
Post a Comment