Waamuzi wa mtanange huu wa leo kati ya Kitendaguro na Kashai
Kikosi cha Kashai kilichoanza
Kikosi cha Kitendaguro na kiongozi wao (kulia)
Mtanange ukiendelea..........
Wachezaji wa Kitendaguro maarufu kama Makhirikhiri wakionesha kutawala uwanja kipindi chote cha kwanza na kuwafunga bao zote tatu kwenye kipindi cha dakika 45.
Wachezaji wa Kitendaguro kushoto wakishangilia baada ya kupata bao la kwanza na la mapema huku kulia wachezaji wa Kashai Fc wakilalamika kwamba siyo bao wameotea!!
Wachezaji wa Kitendaguro wakishangilia baada ya kupata bao la pili
Mashabiki wa Kashai Hoi..wakionekana kuwa wapole!!!
Mchezaji wa Kitendaguro akitaka kukatiza mbele ya mabeki wa Kashai Fc
Mtanange ukiendelea..
RATIBA: HATUA YA FAINALI
Jumanne 13 Agosti
10:00 Jioni - Bilele 1 v/s kitendaguro 0
Jumatano 14 Agosti
10:00 Jioni - Kashai Fc 1 v/s Rwamishenye Fc
2
Ijumaa 16 Agosti
Kutafuta mshindi wa tatu, itakuwa ni:-Kitendaguro Fc 3 v/s Kashai Fc 1
Jumamosi 17 Agosti
FAINALI
Bilele fc v/s Rwamishenye fc
No comments:
Post a Comment