Maandalizi ya maonyesho ya 13 ya saba saba mwaka huu yanaendelea vizuri katika jengo la ccm,maonyesho hayo yanayoratibiwa na kampuni ya KAIDEP yatazinduliwa 26-6-2013,kwa mujibu mratibu philimon kamazima zaidi ya makampuni mia mbili wanategemea yashiriki yakiwemo na makampuni kutoka nchini uganda,kenya,burundi na rwanda. lakini pia wajasiria mali mbalimbali wanaosindika bidhaa za hapa nchini watashiriki.
karibu kwenye maonyesho ya sabasaba ewe mjasiriamali,ni wakati muafaka kuonyesha unachokifanya,au kuzalisha,lakini pia na wakati wa kujifunza mengi
No comments:
Post a Comment