Bonanza kubwa litafanyika siku ya jumapili katika uwanja wa kaitaba,kwa mujibu wa mwenyekiti wa bukoba veteran ndugu erenest nyambo bonanza hilo litaanza saa nne kamili asubuhi kwa mchezo wa mpira wa miguu kati ya timu ya kahawa V/s Banana, na timu itakayoshindwa italazimika kupata adhabu ya kutoa huduma ya supu na chakula cha mchana kwa timu itakayoshinda. mara baada ya mpambano huu timu zote zitaelekea kwenye ufukwe wa kiroyera ambako zitakuwepo burudani mbalimbali ukiwemo mpambano wa kucheza draft kati ya kahabuka na kingereza, katika kusherehesha bonanza hilo hapo ufukweni utakuwepo muziki mkubwa huku moses nyama (farry ipupa) ambae takribani wiki moja sasa karejea kutoka nchini dernmark atakuwa akifanya vitu vyake.Bonanza hili limedhaminiwa na TBL na ni muendelezo wa kila mwezi litakuwa likifanyika na michezo mbalimbali itachezwa

waliochuchumaa wa tatu ni moses nyama (farry ipupa) mwana veterani bukoba ,msanii wa kakau band ambae karejea hivi karibuni kutoka dernimark atatoa burudani

Ni timu ya netball ya bukoba ,kipindi kijacho utakuwepo mchuano wa netball kama walivyosema TBL kuwa bonanza litakuwa likifanyika kila mwe

michezo ni afya,michezo ni upendo, michezo ni furaha

Aliekaa kwenye bench wa kwanza kushoto ni ndugu kahabuka ambae atapambana na kingereza katika mchezo wa draft katika ufukwe wa kiroyera

wanaveterani bukoba

nyuma ya amin ni thomas,na nyuma ya thomas ni kirimanjaro

si mchezo patakuwa hapatoshi kaitaba

dada zetu wapenda michezo

asante mwalimu...
No comments:
Post a Comment