
Ni kitimutimu cha redd's miss lake zone 2013 kitakachofanyika jijini mwanza 29-06-2013 katika ukumbi wa gold crest hotel,warembo watatu kutoka kila mkoa katika mikoa sita ya kanda ya ziwa watachuana kuwapata watatu ambao watakwenda kwenye mashindano ya taifa,mbali na mchuano mkali utakaokuwepo,pia zitakuwepo burudani kutoka kwa ommy dipoz na machael ross. ili uweze kushuhudia mtanange huu itakurazimu uzinasue shilingi za kitanzania elfu ishirini nafasi za kawaida na elfu arobaini kwa nafasi za vip. kwa mujibu wa mkurugenzi wa kampuni ya clara salon & boutique ndugu clara mwasa kambi inaanza rasmi 23-06-2013 na waratibu wote wa mikoa wameshapewa maelekezo ya kambi itakuwa wapi.
No comments:
Post a Comment