Sunday, 7 December 2014

IBADA YA MISA YA UFUNGUZI WA NALPHIN HOTEL MULEBA.BWANA NAFTARI FELIX ATOKWA MACHOZI YA FURAHA.e

 Ni kwa Neema za  mungu Familia ya Bwa na Bibi Naftari Felix wameweza kutimiza ndoto yao .Ilikuwa ni siku ya kumshukuru mungu kwa yote aliyowajaria katika uhai wa maisha yao na kuwawezesha kuifikia siku ya ufunguzi.

 Wanakamati wakiwa katika mkakati wa maandalizi.
 Moja ya kwaya kutoka kanisa la kilutheri Kagoma Muleba.
 Eneo la Ibada.
 Bw na Bibi Naftari Felix mmiliki wa Hotel wakiwa katika ibada ya ufunguzi wa hotel yao.
 Kwaya ikiimba wakati wa ibada.

 Familia ya Bw Naftari wakati wa sadaka.




Bw Naftari akitoa shukrani ,machozi ya furaha yalimtoka.








Wadada wanaotoa hudu


Endelea kufutilia ili uweze kujua kilichojiri kwenye sherehe ya ufunguzi.

Wednesday, 3 December 2014

NALPHIN HOTEL & NIGHT CLUB KUFUNGULIWA MULEBA TAREHE 5-12-2014,WASANII MAARUFU KUWEPO, MRISHO MPOTO, ELIZABERT LULU,JACKLINE WOLPER,DUDE NA BENDI NZIMA YA MUUMIN JUMA.

 Ni eneo la nje la hotel ya kisasa itakayofunguliwa 5-12-2014,sherehe ya ufunguzi itaanza saa nne asubuhi kwa ibada maalumu ya ufunguzi mpaka saa sita mchana, Baada ya hapo yatakuwepo mapumziko na ratiba itaanza tena saa 12.00 jioni mpaka majogoo.
 Maeneo ya NALPHIN HOTEL INAYOFUNGULIWA 5-12-2014.
Maandalizi yakiendelea kwa ajili ya ufunguzi 5-12-2014.
 Maeneo ya nje ya hotel.
 Chumba cha single.
 Vyumba vya double.
 Maeneo ya vyumba.
 Eneo la tiketi Night club.
 Njia ya kuingia Night club.
 Night club mandalizi ya ufunguzi yakiendelea.
 Kitu cha uhakika.
 Viti vitakavyotumika eneo la Night club.
 Eneo la Night club.
 Eneo la ukumbi wa kisasa wakiwa katika maandalizi ya ufunguzi.
 Majiko ya kisasa ya kuchoma nyama yakiwasili kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa hotel.
 Kushoto ni meneja wa Hotel akiwa na Mkurugenzi na mmiliki wa hotel.
 Katikati ni Mkurugenzi na mmilikiwa  NALPHIN HOTEL & NIGHT CLUB akiwa katika mahojiano na mmiliki wa mtandao wa Jamcobukoba.blogspot.com
 Sehemu ya Bar ndani ya Night club wakimalizia marekebisho baadhi.
 Mtambo mzito.
 Dj Max akiwa anafungwa vifaa vipya na vya kisasa vitakavyotumika katika Night club.
Hi si ya kukosa tarehe 5-12-2014 karibuni sana.

Monday, 1 December 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika  Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe , Desemba 2014. Picha na OMR
 
 kuu wa Mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, akijumuika na wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Kanisa la KKKT, wakati wakitoa burudani yenye ujumbe kuhusu maadhimisho hayo ya siku ya Ukimwi Duniani. Picha na OMR
 
 Baadhi ya wandamani wakipita mbele ya jukwaa kuu na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu siku ya Ukimwi Duniani wakati wa sherehe hizo zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe  Desemba 1, 2014. Picha na OMR
 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wakati akiondoka katika uwanja wa Sabasaba baada ya kuhutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa kwenye Uwanja wa huo Mkoani Njombe. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi wakati akiondoka uwanjani hapo baada ya kuhutubia katika Sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Njombe. Picha na OMR