Shabiki nguri mwana mama wa kashai neema akiwa makini kuangalia mechi
dah mchezo mgumu huu
wa mama wanapenda sana soka
kagasheki cup noma, watu nyomi
police baada ya mechi wakiangalia usalama
tujipange, ligi ngumu haitabiriki
umakini mchezoni
willy kiroyera walidhamini mechi itangazwe live redio kasibante
vituko uwanjani, mashabiki wa kashai
kazi ipo ,umeona mechi ilivyokuwa ngumu
dah hii si mchezo
mwanalibeneke wa bukobasports akiwa na mkewe baada ya mechi
kumbe hii kagasheki cup si mchezo,watu wanajaa hivi
mkurugenzi wa manispaa akihojiwa na mtangazaji wa redio kasibante
mkurugenzi wa manispaa akitoka uwanjani
mechi imekwisha nashuka
kwa jinsi uwanja ulivyojaa ilibidi watu wapande magari kwa juu waweze kuona mechi
polisi hawachezi mbali
barabara itokayo kaitaba kuelekea soko kuu imefurika
Kikosi kilichoanza cha Kashai
Mashabiki leo wameingia buku tatu kidogo!!
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando akionyesha waandishi wa
Habari (hawapo pichani) jinsi droo ya Airtel Yatosha inavyochagua
mshindi wa kila siku wakati wa droo ya kwanza ya promosheni hiyo ya
Yatosha iliyotoa jumla ya washindi 7 toka mikoa mbalimbali, katikati
anaefuatilia droo hiyo ni Msimamzi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha
Tanzania Bw, Mrisho Milao na Meneja Masoko wa Airtel Bi Aneth Muga
wakwanza kulia. Droo ya Airtel Yatosha imetoa jumla ya ashindi 7 ambapo
kila mmoja amejishindia shilingi milioni moja.
Meneja Uhusiano wa Airtel Bw, Jackson Mmbando akiongea na moja ya
washindi wa promosheni ya Airtel yatosha mara baada ya kuibuka mshindi
katika droo ya wiki ya kwanza inavyochagua mshindi wa kila siku wakati
wa droo ya kwanza ya promosheni hiyo ya Yatosha iliyotoa jumla ya
washindi 7 toka mikoa mbalimbali, katikati anaefuatilia droo hiyo ni
Msimamzi wa bodi ya michezo ya Kubahatisha Tanzania Bw, Mrisho Milao na
Meneja Masoko wa Airtel Bi Aneth Muga wakwanza kulia. Droo ya Airtel
Yatosha imetoa jumla ya ashindi 7 ambapo kila mmoja amejishindia
shilingi milioni moja.

