Thursday, 9 May 2013

KAGASHEKI AENDELEA NA ZIARA KATIKA KATA 11 KUWAPA POLE WAANGA WA MAFURIKO

 WATOTO NAO HAWAKUBAKI NYUMA MH KAGASHEKI ALIPOKUWA AKIWASILI KATIKA KATA ZAO




BALOZI KAGASHEKI AKIWA KATA YA BILELE AMETOA POLE KWA WAANGA NA KUTOA MSAADA  WA CHAKULA ,NA WALE WALIOBOMOKEWA NYUMBA AMEWAWEZESHA GHARAMA ZA KUKARABATI  NYUMBA ZAO
 DIWANI WA KATA MIEMBENI RICHARD GASPAR AKITOA MAELEZO KWA MBUGE
 MUANGA AKIMUONYESHA  MBUGE NYUMBA YAKE ILIVYOBOMOKA
NI MAENEO YA KASHAI MATOPENI ,HAPA MH KAGASHEKI ALITOA  KIASI CHA MILIONI MOJA NA NUSU  KUONGEZA  KARAVATI JINGINE ILI MAJI YAPITE KWA WEPESI YASIINGIE KATIKA MAKAZI YA WATU
MH KAGASHEKI AKIKABIDHI KIASI CHA 1,500,000 KWA AJILI YA UJENZI WA KARAVATI KASHAI MATOPENI,UONGOZI WA MTAA UNAPOKEA.
KATA KAHORORO WAANGA WAKIPOKEA POLE KUTOKA KWA MBUNGE
 WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MUGEZA WAKIMSIKILIZA MH KAGASHEKI


mh mbunge akiongea na wanafunzi wa mugeza sekondari aliwachia kilo 150 za sukari kwa ajili ya uji, ameagiza ofisi yake ihakikishe wanarekebisha tanki kubwa la maji ambalo lilitengenezwa na ofisi yake miaka sita iliyopita
 MH AKIWASILI KATA YA BUHEMBE

 DIWANI WA KATA BUHEMBE AKITOA MAELEZO  KUHUSU  WAANGA WA MAFURIKO


 KATA YA NSHABYA MH AMETOA MSAADA WA CHAKULA

KATA YA NYANGA MH KAGASHEKI KATOA CHAKULA KWA WAANGA

 KATIKA KATA YA RWAMISHENYE ALIWAWEZESHA MAFUNDI BAISKELI KUNUNUA DHANA ZA KAZI
MAFUNDI BAISKELI RWAMISHENYE WAKIMUELEZA MBUGE UABA WA DHANA ZA KUFANYIA KAZI
 MH KAGASHEKI  AKIWA KATA RWAMISHENYE KUTOA POLE KWA WAANGA ALITOA MSAADA WA CHAKULA NA KUKARABATI JENGO MOJA LA MUANGA

 KATA YA KIBETA WAANGA WALIPEWA MSAADA WA CHAKULA

 HII NDI HALI HALISI KATA IJUGANYONDO


 MUANGA KATA YA IJUGANYONDO
 NYUMBA HII MH MBUNGE AMESEMA IJENGE UKUTA NA KUIEZEKA UPYA KWA AJILI YA

mh kagasheki akiwa na mpomaI
 MZEE VALENTINI AMBAE AWEZI KUSIMAMA TENA KWA AJILI YA UMRI



WAANGA WENGINE WA KATA YA IJUGANYONDO WAMEPEWA MSAADA WA CHAKULA
KATA KITENDAGURO MTAA WA BUGAMBAKAMOI,BALOZI KAGASHEKI AMEMALIZA ZIARA YA KATA ZOTE 14

Wednesday, 8 May 2013

BALOZI KAGASHEKI ATEMBELEA WAANGA WA MAFURIKO NA KUTOA MSAADA

Mbunge wa jimbo la bukoba mjini akifanya mahojiano kuhusiana ma mafuriko na mtangazaji wa redio kasibante 88.5
MH Kagasheki akiteta na mkurugenzi wa vision redio Varelian dakika chache kuelekea kwa waanga wa mafuriko
Ni baada ya kumpa habari ya libeneke la jamcobkblogspot.com kuwa liko hewani,pongezi zilitolewa na tukaelekea kwa waanga wa mafuriko
m
hii ndio hali halisi aliyokutana nayo mh mbunge kwa waanga wa mafuriko
msaidizi wa mh mbunge jumanne bingw akitoa maelezo
mh mbunge katika pitapita yakuangalia waanga wa mafuriko alipitia kumjulia hali mwandishi wa habari wa TBC benjamini rwegasira ambae takribani miaka miwili sasa anaumwa yuko ndani akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza,ila kwa sasa anaendelea vizuri
pia alitembelea shule ya sekondari hamugembe
Ni hali ya kusikitisha sana

BALOZI KAGASHEKI ALIONGEA NA WAANGA WA MAFURIKO NA KUWAPA POLE,PIA ALITOA MSAADA WA CHAKULA NA BAADHI YAO WALIOBOMOKEWA NYUMBA ALIWAWEZESHA GHARAMA ZA UJENZI WA KUTA ZA NYUMBA ZAO ,NA ALIWAOMBA KUWA NA SUBIRA KATIKA KIPINDI KIGUMU WALICHONACHO WAKATI SERIKALI IKICHUKUA HATUA YA KUSHUGHULIKIA TATIZO  USUSANI MIUNDO MBINU ILIYOHARIBIKA SANA,LAKINI PIA ALIYAOMBA MASHIRIKA, TAASISI NA WATU BINAFSI KILA MMOJA KWA NAFASI YAKE AWEZE KUSAIDIA WAANGA WA MAFURIKO KWANI MAHITAJI YAO NI MAKUBWA KWA HASARA WALIYOPATA, TUTAENDELEA KUWALETEA ZIARA YA BALOZI KAGASHEKI KWENYE KATA ZINGINE.

KAGASHEKI AKATISHA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI KUWAIT NA KURUDI JIMBONI KUFARIJI WAANGA WA MAFURIKO

Mbunge wa jimbo la bukoba mjini ambae pia ni waziri wa maliasili na utalii balozi khamisi kagasheki amelazimika kusitisha ziara ya kiserikali huko nchini Kuwait na kurudi jimboni kwake kwa ajili ya kuwafariji wananchi walioathilika na mafuriko.   Mara baada ya kuwasili alikutana na viongozi mbalilmbali na alipewa taarifa ya kila kata ili aweze kupata hali halisi ya madhala yalijitokeza kwa kila kata,  baada ya kupata taarifa  alianza ziara ya kutembelea waanga wa mafuriko na kuona hali halisi,mh kagasheki alishuhudia majumba yakiwa yamebomoka na ualibifu mkubwa wa vifaa,lakini pia watu wengi walikuwa hawana mahala pa kuishi kutokana na nyumba zao kujaa maji, Balozi kagasheki ameweza kutoa msaada wa chakula kwa waanga wote,lakini pia kwa wale ambao nyumba zao zimebomoka kuta ameweza kutoa pesa ili waweze kurekebisha , mh kagasheki alisema wakati serikali ikifanya tathimini yeye kama mbunge swala hili limemgusa sana kwa hiyo ameona afanye awezalo kwa haraka wakati taratibu zingine zikifanywa.

VIONGOZI MBALIMBALI KUTOKA KWENYE KATA ZA MANISPAA YA BUKOBA
BALOZI KAGASHEKI AKIPOKEA TAARIFA YA MAAFA YA MAFURIKO JIMBONI KWAKE

KATIBU WA CCM BUKOBA MJINI JANATH MUSA KAYANDA AKIELEZA KWA UFUPI MAENEO YALIYOATHILIKA NA MAFURIKO

Monday, 6 May 2013

MAFURIKO BUKOBA


NI MAENEO MBALIMBALI MANISPAA YA BUKOBA YALITOKUMBWA NA MAFURIKO

NI MAENEO YA BARABARA YA HAMUGEMBE


OMUKIGUSHA NDIO BALAA
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha manispaa ya bukoba zimesababisha madhara makubwa ya uharibifu wa mali,miundombinu na makazi ya watu. mapemaleo tulifika katika baadhi ya maeneo na kujionea jinsi wakazi wa maeneo hayo wakiangaika kunusuru vitu mbalimbali kuvitoa katika majumba yao ambayo yamevamiwa na maji,maeneo yalioathilika ni omukigusha katika kata ya bilele,buyekera,miembeni,uswahilini, na maeneo yaliyokaribu na mto kanoni


OMUKIGUSHA HIYO

NI BAADHI YA VITU VIKIAMISHWA






WANANCHI WAKISHUHUDIA HALI HALISI