NI MAENEO MBALIMBALI MANISPAA YA BUKOBA YALITOKUMBWA NA MAFURIKO NI MAENEO YA BARABARA YA HAMUGEMBE OMUKIGUSHA NDIO BALAA Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha manispaa ya bukoba zimesababisha
madhara makubwa ya uharibifu wa mali,miundombinu na makazi ya watu.
mapemaleo tulifika katika baadhi ya maeneo na kujionea jinsi wakazi wa
maeneo hayo wakiangaika kunusuru vitu mbalimbali kuvitoa katika majumba
yao ambayo yamevamiwa na maji,maeneo yalioathilika ni omukigusha katika
kata ya bilele,buyekera,miembeni,uswahilini, na maeneo yaliyokaribu na
mto kanoni OMUKIGUSHA HIYO NI BAADHI YA VITU VIKIAMISHWA WANANCHI WAKISHUHUDIA HALI HALISI
mmhh poleni sana ndugu zangu wa Bukoba, MUNGU atawasaidia kuepukana na hili janga lililotukuta na wito wangu ni kuwa tuchukulie hii hali kama changamoto na fundisho. tujitahidi kuepukana na kuishi mabondeni na sehemu zenye tabia ya kujaa maji aana najua hii hali haijatokea siku mija kwani hata kabla ya mwaka huu Omukigusha palikuwa hapapitiki msimu wa mvua sema naona mwaka huu mvua zimezid. MUNGU ibariki Bukoba!!!!

ReplyDelete