Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika kesho Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.
Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza.
Chistian Bella huyoo langoni mwa Pipa.
Christian Bella akikaribishwa na Mwenyekiti wa kamati ya jukwaa la wasanii Hamza.
Dj Ziro langoni mwa ndege akiwa na mwanadada mtangazaji wa Clouds Tv Shadee mbele.
Karibu bhana.
Msanii wa Bongoflava Jux.
Ney wa Mitego.
Barnaba.
Barnaba mbele akifuatiwa na Madee na Fiesta Crew.
Katika Picha ya Pamoja
Fiesta 2014 Mjini Bukoba itakuwa balaa!! Wasanii wakitokelezea huku wakishoo lavu tayari kwa Fiesta kesho.
Muziki ni sehemu yetu ya Maisha
Ommy Dimpoz kwenye tabasamu la nguvu baada ya kutua Bukoba
32 yote papp!!! Ommy
No comments:
Post a Comment