BENDI ya muziki wa dansi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ jana usiku iliwasha moto wa kutosha na makamuzi ya aina yake ndani ya ukumbi wa Lina's Club Bukoba mjini. Nakuwadhihirishia wakazi wa Kagera kuwa wao ni Kisima kisichokauka baada ya Kuwasha moto huo uliokuwa unalipuka lipuka mpaka raia wakachoka wenyewe japo wengi wao walijua mwisho wa show hiyo ni saa sita kumbe la..muziki wa dansi ukasongeshwa mpaka usiku mneneee..
Kulia ni Haji akitabasamu baada ya kutua Bukoba kujionea mwenyewe wakazi wa Kagera wanavyopenda muziki huo wa dansi.
Msanii wa Muziki wa Dansi Hafsa Kazija ilibidi asimame baada ya kukunwa kisawasawa na wazee masauti wazee wa kisingine Twanga Pepeta!!!
Dakika chache zilimsogeza Hafsa Kazinja kuwa sehemu ya burudani nae.
Kweli wanaweza!!! Twanga!
Mkali asiyefunikika kwa akinadada muziki wa dansi nchini Luiza Mbutu 'Sauti ya Twanga' Mwenye vazi jeupe katikakati akiwatumbuiza wakazi wa Kagera
usipime!!
Wazungu kama kawaida yao kwenye Kiunga hiki cha Linas Club!!! na hapa walikuwa wafurahia muziki wa dance usiku kutoka kwa Twanga pepeta
Kalala Junior (katikati) akibanjuka na muziki aina ya dansi
Wanenguaji wa Twanga pepeta wakicheza moja ya muziki wao wa kutwanga na kupepeta
Dadaz nao walikuwepo kushuhudia muziki huo wa dance kutoka kwa Twanga pepeta
Willy Kiroyera kushoto akizimika!!
Usimpimie Willy O. Rutta wa Kiroyera hapa kashapandwa na Nyimbo za Twanga
Wadau mbalimbali walijitokeza kwa wingi kuwashuhudia Twanga pepeta maana ilikuwa ni kitambo tangu waje hapa Bukoba tangu 2006
Taswira!!
Mikogo!!
Mnataka tena!!
1,2,3 pozi!!!
Chinaaa!!!! Umetokelezea!!
Ilikuwa ni balaa!
...Mpaka asubuhi makamuzi!!!
Vijana wa Burudani Bukoba
No comments:
Post a Comment