MBOWE, JOHN MNYIKA, TUNDU LISSU, WAPOKELEWA NA NYOMI YA WATU BUKOBA...WAWATAKA WATANZANIA KUJADILI RASIMU YA KATIBA NA KUTOA MAONI VYEMA
Helikopta
maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Jimbo la Hai,
Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika,
Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya
mkutano wa hadhara mjini Bukoba
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA juu ikiangalia jinsi ya
kutua sehemu ya Viunga ya uwanja wa Mayunga, (Uhuru Platform).
Helikopta
maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA juu ikiangalia jinsi ya kutua
sehemu ya Viunga ya uwanja wa Mayunga, Uhuru Platform. Na hapa wananchi
wakiiangalia juu ikitaka kutua.
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa
Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh.
John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru Platform Mkoa wa Kagera kufanya
mkutano wa hadhara mjini Bukoba
Helikopta
maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA ikitua chini na hapa
wanafunguliwa mlango kutoka nje tayari kufanya mkutano wao ambao ni
mwendelezo wa mikutano yao kanda ya ziwa swala zima Kutoa maoni katiba
mpya
Majembe ya Chadema na mbele ni Mh.Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe akiwapungia wananchi mkono
Viongozi wa Chadema waliotua punde wakielekea jukwaa kuu
Helikopta maalum iliyowabeba viongozi wa CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo
la Ubungo Mh. John Mnyika, Tundu Lissu walipowasili eneo la Uhuru
Platform Mkoa wa Kagera kufanya mkutano wa hadhara mjini Bukobaw (Picha
na habari Faustine Ruta, bukobasports.com)
Furaha za wadau wao wakakutana nazo njiani wakisonga jukwaa kuu...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika
Mh. Freeman Mbowe kulia na kushoto ni Mh.Tundu Lissu
Viongozi mbalimbali wa Chadema
Diwani wa Chadema (Rwamishenye) Bukoba
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akijiweka sawa kabla ya kuongea na wananchi.
Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika
Umati wa watu uliokusanyika kwenye viwanja vya Uhuru platform
Mwenyekiti
wa Chama cha Domekrasia na maendeleo (CHADEMA) Mh.FREEMAN MBOWE
amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kujadili Rasimu ya Katiba mpya
ili ipatikane Katiba itakayokidhi haja ya Watanzania.
Amesema
hayo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa Bukoba mkoani Kagera alipokuwa
kwenye ziara ya kichama kuhamasisha wanachama wa chama hicho kuunga
mkono kuwepo na Serikali tatu ndani ya Jumuiya ya Muungano wa Tanzania.
Mbunge wa Singida Mashariki-Chadema Tundu Lissu Aunguruma Mbele ya Mamia ya Wafuasi wa Chadema Bukoba.
Nyomi ya watu.
No comments:
Post a Comment