"Mwali" Kombe la Kagasheki Cup 2013 walilotwaa Bilele FC
Timu ya Bilele FC maarufu kama KM 0
imeibuka kidedea baada ya kuilaza timu ya Rwamishenye FC leo
walipopambana vikali katika fainali ya kugombea kombe la KAGASHEKI CUP 2013 iliyochezwa kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini
Timu hizo mbili zilitoshana nguvu ya bila kufungana katika dakika
tisini za kawaida na hata baada ya dakika zaidi thelathini kuongezwa
hakuna aliyefanikiwa kuona lango la mwenziye na hivyo mechi hiyo
kuamuliwa kwa mikwaju ya penalti.
Mikwaju
hiyo ikipipwa mchezaji wa Bilele alikosa mkwaju wa kwanza kwa kugonga
posti huku Rwamishenye wakipata mkwaju wa penati wa pili. Bilele
walimaliza mkwaju wao wa nne na watano kwa kushinda baada ya mkwaju wa
nne kupigwa na kipa mwenye wa Bilele na mkwaju wa tano ukipimgwa na
mshambuliaji wa Bilele FC.
Mshindi wa pili ni Rwamishenye fc na wa
tatu ni Kitendaguro(Makhirikhiri) baada ya kuwachabanga mabao 3-1 timu
ya Kashai Fc juzi jioni. Wote walipewa zawadi zao kama zilivyokuwa
zimepangwa.

Balaa hapa kila shabiki wa timu ya Km 0, Bilele akishangilia kwa furaha..

Wadau na mashabiki wa Timu Bilele fc wakiwa wanasherehekea ubingwa wa timu yao
"Mwali" Kombe la Kagasheki Cup likiletwa juu ya jukwaa kuwasubiri Bilele Fc.

Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki wa pili kutoka (kushoto)
anayefata ni Bw. Jamal Malinzi na viongozi mbalimbali

Diwani
akishangaa hapa akiwa aamini macho yake mwenye shati ya drafti mbele.
ambaye ni diwani wa Bilele na timu iliyoshinda ikitokea kwenye eneo lake
na pia amekuwa akiwa karibu na timu hiyo muda wote tangu ligi hii
ianze.

Afisa utamaduni akizungumzia Ligi hii iliyopigwa takribani mwezi mmoja.

Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akiteta na umati mkubwa wa mashabiki
waliokusanyika uwanjani hapa

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akiteta na umati mkubwa wa mashabiki
waliokusanyika uwanjani hapa muda mfupi baada ya mpira kuisha.

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akiteta na umati mkubwa wa mashabiki
waliokusanyika uwanjani hapa

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akiteta na umati mkubwa wa mashabiki
waliokusanyika uwanjani hapa

kombe

Katibu
ndugu Malick Tibabimale(kushoto) akiteta na bosi wake Waziri wa
Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akiteta na umati mkubwa wa mashabiki
waliokusanyika uwanjani hapa

Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kulia) ambae ndie
mdhamini mkuu wa ligi hii akitoa zawadi hapa.

wachezaji wakipewa zawadi zao hapa

Baada ya kipa wa Bilele kudaka mkwaju wa penati wa mwisho, wachezaji wa Bilele wakikimbia kumpongeza kipa wao!
No comments:
Post a Comment