Friday, 24 February 2017

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi buheri wa afya.

Zile  habari  zilizoenea kwenye mtandao  za  kifo  cha  rais  mstaafu Ali Hassan  Mwinyi  si za kweli  ni uzushi, mzee  mwinyi  yuko salama  salimini.

Saturday, 18 February 2017

MAZISHI YA MAREHEMU OMWAMI TA EMMANUEL MUTABUZI ,MAMIA WAMZIKA KIJIJINI KWAKE KASHABA KYAKA BUKOBA


 Mjane wa marehemu akiuaga mwili wa marehemu.

 Machungu.
 Mstahiki meya wa manispaa ya Bukoba akitoa salamu za rambirambi.
 Mwenyekiti wa ccm Bukoba vijijijni akitoa salamu za rambirambi.


 Wajukuu.
 Mwenyekiti wa ccm mkoa Kagera akitoa salamu za rambirambi.
 Mwenyekiti wa Halmashsuri ya Missenye akitoa rambirambi.
 Bw Wirlbrod Mutabuzi akitoa shukrani za familia .
Hapa ndipo alipozikwa Omwami Ta Emmanuel Mutabuzi, katika nyumba yake ya milele, pumzika kwa amani .