Friday, 13 January 2017

RAIS DK MAGUFULI NA RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN WAUNGURUMA VIWANJA TOFAUTI KILELE CHA MIAKA 53 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar  Dk. Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya heshma ya Gwaride la Vikosi vya Ulinzi katika  sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan
Viongozi  mbalimbali wakiwa kwenye sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika  katika Uwanja wa Amaan 
Kikosi cha Askari wa Polisi wa Zamani (Tarbush) wakionesha Gwaride lao wakati wa sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika  katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
MKikosi cha Makomandoo wakionesha ukakamavu wao katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika   katika Uwanja wa Amaan ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Makomandoo wa Jeshi la  Wananchi wa Tanzania JWTZ walipoonesha ukakamavu wao kwa kuvuta Gari kama wanavyoonekanwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika  katika Uwanja wa Amaan,zilizohudhuriwa na Viongozi mbali mbali
Rais Dk. John Magufuli akipunga mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo
Rais Dk. John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo
Rais Dk. John Magufuli akielekea kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Kambarage mkoani humo.
Rais Dk. John Magufuli akiwapungia mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kambarage mkoani Shinyanga

Tuesday, 10 January 2017

OMWANA MARIA VERDIANA MBONEKO ATIMIZA MWAKA MOJA TANGU AFARIKI,ASKOFU KILAINI AONGOZA IBADA YA KUMUOMBEA.

 Ni mwaka moja sasa tangu marehemu Omwana Maria   Verdiana Mboneko  aiage dunia na kuzikwa  nyumbani kwake Gera, Ni siku ya pekee wanafamilia toka pande tofauti wanakutana tena baada ya mwaka mzima na kushiriki ibada ya kumbukumbu ya marehemu,Ni bahati ya pekee katika familia pale baba askofu Methodius Kilaini akiwa na mapadre wengine wanaongoza  ibada takatifu ya kumkumbuka Omwana Maria Verdiana Mboneko, Pumzika kwa amani.
 Ni eneo maalumu liliojengwa kitaalamu na kisasa alipozikwa omwana  Maria Mboneko.

 SHUKRANI ZA FAMILIA.
 Baba askof Methodius Kilain akibariki kaburi.
 wajukuu wakitoa neno.
 Bw Majid Kichwabuta, Busyy
 B Graice Rwihura katika ubora wake.
 Si unakumbuka vilikuwa viwili.
 Bw Yunus Kabyemela.
 Omulangira Rugaibura (kushoto) akiwa na Dr Kataruga.
 Mwl John Mugango akifanya vitu vyake.
 Burudani.
 Omulangila Ben Kataruga akiwa na Bw Deo Rugaibula(kulia) wakiteta jambo.
 Neno la shukrani kwa niaba ya familia.