Nyumba nzuri yenye vyumba vitatu vya kulala na kimoja wapo ni master bedroom,ina sebule kubwa ya kisasa, sehemu ya kulia chakula kubwa na ya kisasa, Jiko, store,public toilet, Bafu ,imeungana na nyumba ya nyuma ambayo unaweza kufanyia matumizi kadri utakavyoamua na uwanja mkubwa kwa ajili ya kuanika nguo au matumizi mengine, Nyumba hii Land; Plot no 159, blok 'AA' Kashai Kashenye Bukoba mjelezoini, Certificate of tittle;9930 Nyumba unaweza kuifanya kwa matumizi yoyote utakavyohitaji iko eneo zuri barabarani kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0713-481813.
Nyumba iko imara.
sehemu ya pembeni imeungana na nyumba ya nyuma.
Hii ni nyumba ya nyuma.
Sehemu ya mbele ya kuingia ndani.
Kwa mawasiliano zaidi piga no 0713-481813.
Friday, 29 January 2016
DK. ASHA-ROSE MIGIRO AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA, MAKAO MAKUU YA CCM, DAR ES SALAAM
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akimkaribisha Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, leo
Balozi akisaini kitabu wa wageni
Mazungumzo yakiendelea
Balozi huyo akimsalimia Ofisa wa Chama katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Gift Msuya
Balozi huyo akimsalimia Ofisa wa Chama katika Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Salehe Mhando
Wakijiweka sawa kwaajili ya kuendelea na mazungumzo
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, anayeshughulika na Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) Ndugu Asha-Rose Migiro, akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Malika Berak, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
Tuesday, 19 January 2016
MSIBA NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE SEBO BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto
ni Abdul Sebo mtoto wa marehemu akipewa pole na moja ya ndugu, jamaa
na marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu Bowie kutoa pole na rambi
rambi zao kwa wafiwa kutokana na kifo cha mpendwa wao Mzee George Sebo
kilichotokea siku ya Jumatatu asubuhi January 18, 2016 katika Hospitali
ya Prince George iliyopo Maryland nchini Marekani. Utaratibu na mipango
tutajulishwa leo kwa sasa imetengenezwa GOFUNDME ambayo ni www.gofundme.com/8fjvpcns
Kati
ni mke wa marehemu Aunty Grace akipewa pole na moja ya ndugu, jamaa na
marafiki waliofika nyumbani kwa marehemu kujumika nao na kuwafariji
katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao mzee wetu
George Sebo
Mmoja
ya wanaDMV wakijumuika pamoja na kwa kutoa pole na kuwafariji wafiwa
katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wao. Kushoto ni
Salma Moshi.
WanaDMV
na wanafamilia wakijumuika na kuwafariji wafiwa nyumbani kwao Bowie,
Maryland nchini Marekani na kutoa pole na rambi rambi zao . Kutoka
kushoto ni Sharif, Tuma, Salma, Justa, Aunty Grace na Iska wakiwa na mke
wa marehemu Aunty Grace kumpa pole kwenye msiba wa kuondokewa na
kipenzi mume wake Mzee George Sebo.
Wana DMV wakijumuika na wanafamilia nyumbani kwa marehemu Bowie, Maryland.
Saturday, 16 January 2016
SHEREHE YA KUWAPONGEZA MUGISHA NA LIGHTNESS NDANI YA LINA'S,ILIKUWA NI SHIDAAAA....
Mr & Mrs Mugisa katika ubora wao.
Muonekano wa meza ndani ya ukumbi.
Taswira ya ukumbi.
Sehemu maalumu ya kupigia picha kwa wageni waalikwa.
Bw Stephen katika ubora wake na Matron.
Ni vijimambo tu kabla ya kuingia ukumbini.
Keki.
Maharusi wakiingia ukumbini.
Mr & Mrs Kitwe katika ubora wao.
Masikini halali mchana na mkewe.
Kamati ikiselebuka baada ya kutoa zawadi.
Jamcobukoba.blogspot.com inawapongeza kwa kufunga pigu za maisha.
Muonekano wa meza ndani ya ukumbi.
Taswira ya ukumbi.
Sehemu maalumu ya kupigia picha kwa wageni waalikwa.
Bw Stephen katika ubora wake na Matron.
Ni vijimambo tu kabla ya kuingia ukumbini.
Keki.
Maharusi wakiingia ukumbini.
Mr & Mrs Kitwe katika ubora wao.
Masikini halali mchana na mkewe.
Kamati ikiselebuka baada ya kutoa zawadi.
Jamcobukoba.blogspot.com inawapongeza kwa kufunga pigu za maisha.
Subscribe to:
Posts (Atom)