Wednesday, 4 March 2015

KATA YA BILELE CCM WAJIPANGA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2015,MABALOZI NA WAZEE WAASISI WA KATA WATOA MAWAZO YAO.

 Mwenyekiti wa ccm kata ya Bilele Taufiq Sharif akizungumza na wanachama wa ccm kata ya Bilele, mabalozi na wazee katika mkakati maalum wa kuelekea katika uchaguzi mkuu 2015.
 Wanachama wakimsikiliza mwenyekiti wao.
 Katibu mwenezi wa kata ya Bilele upenda kujihita Nape wa Bilele akieleza baadhi ya mikakati iliyowekwa na ofisi ya chama kata Bilele kuhakikisha wanashinda uchaguzi 2015 kwa kishindo, N a kata Bilele ni miongoni mwa kata ambayo imeshinda mitaa yote katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
 Mmoja wa wapenzi wa ccm na mwimbaji mkubwa wa Taarabu katika kundi la jamiri Taarabu.
 Bw Rashid Goronga , mchumi wa kata Bilele.
 Mzee Uredi, muasisi wa kata Bilele.
 Bw Udi, mwenyekiti wa mtaa ambae ametangaza nia ya kugombea udiwani kata ya Bilele.
 Ni wanachama wakiwa katika ukumbi wa Lwabizi plaza.
 Bw Mukhusini Kichwabuta .
w
 Waasisi.
Endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com
 Mwenyekiti Bw Taufiq akiteta jambo na Bw Bushira ambae upenda kujihita Kinana wa Bilele.
Wazee wa kata Bilele.

Tuesday, 3 March 2015

MWILI WA MAREHEMU JAPHET KABYEMELA WAWASILI,KUZIKWA JUMAMOSI 7-3-2015 KANYIGO KASHENYE.

 Ni majira ya saa tatu usiku Jumanne 3-3-2015 mwili wa marehemu Japhet Kabyemela unawasili Bukoba Mjini  na kupelekwa kuifadhiwa Mortury hospital ya Mkoa wa Kagera na atazikwa Jumamosi 7-3-2015  kijijini kwake Kanyego Kashenye.
Ni gari lililoleta mwili wa marehemu kutokea Mwanza.
 Ni mchungaji na wananchi mbalimbali waliofika hospital kupokea mwili.
 Mwili ukitolewa kwenye gari.
 Mjuni Katalaiya ,katika majonzi.
 Mtoto wa marehemu , mwl Peace akipokelewa.
 Mtoto wa marehemu.
 Mtoto wa marehemu.
 Francis Mutungi mwanafamilia.
 Ibada fupi wakiwa Mortury.
 Nyumbani kwa marehemu Bukoba mjini.
 Wazee wakiwa nyumbani kwa marehemu.
 Mwl Peace akiwasili nyumbani, ilikuwa ni mayoee.
 Majonzi.
Ni ndugu, jamaa, majirani na marafiki wakiwa katika wakati mgumu sana wakiwapokea watoto wa marehemu mara baada ya kuifadhi mwili hospital ya Mkoa Kagera, mazishi yatafanyika Jumamosi 7-3-2015  Kanyigo Kashenye  Bukoba vijijini.