Wednesday, 11 February 2015

KAMANDA WA VIJANA CCM MKOA WA KAGERA DIONIZ MALINZI KUSIMIKWA RASMI 15-2-2015 JUMAPILI,MGENI RASM NAPE NNAUYE.


 Mgeni rasm ni Mh Nape Nnauye.
 Mh Balozi Kagasheki akiongea na mtangazaji wa Kasibante Redio 88.5 kuamasisha wananchi wajitokezi kwa wingi kuja katika mkutano wa hadhara na usimikwaji wa Kamanda.
 Katibu wa Vijana Mkoa wa Kgera Bw Didas Zimbihile akiongea na vyombo vya habari ratiba nzima ya shughuli itakavyokuwa..
 Bw Shafi Lugomba Katibu uhamasishaji na chipukizi Mkoa wa Kagera akiwa akiwa na Bw Didas wakionyesha moja ya T,shirt zitakazofaliwa.

Wananchi wote mnakaribishwa Uhuru Platform 15-2-2015 kuanzia saa nane mchana.

Monday, 9 February 2015

KARIBU FIOSMIMI HOTEL VALENTAINE DAY WAMEKUANDALIA MAMBO MAKUBWA.

 Uongozi wa Fiosmimi hotel iliyoko barabara ya kwenda Kashura Bukoba Manispaa imekuandalia mambo makubwa na mazuri siku ya 14-2-2015 Valentaine day,Wewe pamoja na umpendae itakuwa ni 50,000 tu(hamsini elfu) utapata chakula,vinywaji na burudani mbalimbali, kama vile haitoshi kwa wale watakaopenda kulala hapo kutakuwepo punguzo maalum kwa wapendanao.kwa maelezo zaidi piga simu 0687-761048 au  0762 -722110.
 Karibu Valentaine day Fiosmimi hotel  wanayo mandhari nzuri, upepo mwanana kutoka ziwa victoria.
 Pia wanazobidhaa za asili,za kazi za mikono.
 Hata kubadilisha mazingira ya kulala ni muhimu siku ya Valentaine.
Karibuni Fiosmimi hotel siku ya wapendanao.

Saturday, 7 February 2015

ANETH KEMPANJU AFANYIWA SEND OFF,NYUMBANI KWAO ITAHWA BUKOBA,LEO 7-2-2014.

 Ni siku ya furaha katika familia ya Mzee  Charles Kempanju wa Itahwa Bukoba ,wakimuaga binti yao mpendwa  Aneth Kempanju anaetarajia kufunga pingu za maisha wiki ijayo huko Mkoani Geita.Bi Aneth Kempanju alipopewa  kipaza sauti mbele ya umati mkubwa ulifurika katika sherehe ya kumuuga akiwa amemshika mkono Mme wake mtarajiwa mbele ya wazazi wake alitamka maneno yafuatayo Wazazi wangu mmenilea kwa malezi mema na mmenionyesha upendo mkubwa sana,ila leo pendo jingine limejitokeza ndani ya moyo wangu ni Lau mme wangu mtarajiwa naomba mumpokee.
 Bw Lau mtarajiwa wa Aneth.
 Mzee Kempanju na mkewe wakiingia ukumbini.
 Wanachama wa mama Aneth.
 Wageni waalikwa.
 Wazazi wa Bw harusi mtarajiwa.
 Karibuni wageni wtu kutoka Geita.
 Mawifi.
 Matroni akiingia ukumbini.
 Bi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.
 Mwenyekiti akifungua sherehe.
 Mzee Kempanju na mke wake wakikaribisha wageni.
 Baba mzazi w Bw harusi mtaajiwa akisalimia.
 Aneth akimtambulisha mme wake mtarajiwa.
Matukio yataendelea.