Sunday, 30 November 2014

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFANYA KWELI TUZO ZA CHANNEL O NCHINI AFRIKA KUSINI


Diamond Platnumz akipozi baada ya kutwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini.
Mrembo Zari anayedaiwa kuchukua nafasi ya Wema Sepetu akiwa ameshika tuzo za Diamond.
Diamond Platnumz akiongea machache baada ya ushindi huo wa kishindo.
Diamond katika pozi na wadau.
Diamond katika pozi na wadau pamoja na mama yake mzazi, Sandra (wa pili kulia).
Diamond (katikati) akiwa na management yake. Kulia ni Said Fella na Babu Tale (kushoto).
Mama mzaa chema, Sanura 'Sandra' Kassim katika pozi.
Kutoka kushoto ni Mama mzazi wa Diamond 'Sandra', Diamond na Zari katika picha ya pamoja.
MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O jana usiku nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One.
Kupitia ukirasa wake wa Facebook Diamond amewashuru sana mashabiki wa wote walio msupport.
"Kiu kweli, haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu na support kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika historia mpya kwenye ramani ya muziki wa Afrika...Hii inaonyesha ni jinsi gani umoja ni nguvu na pia jinsi gani muziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele unaweza kufika mbali zaidi... Shukrani sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau wapendwa wangu"

Friday, 28 November 2014

BAG PARTY YA GEDIOSE .R. MUKULASI YAFANA NYUMBANI KWAO KITENDAGURO BUKOBA.


Kulia ni Mhandisi Gediose Mukulasi akitabasamu akiwa na mdogo wake kwenye Bag Party ya aina yake iliyofanyika nyumbani kwao katika kijiji cha Kitendaguro Manispaa ya Bukoba,Bw harusi mtarajiwa anatarajia kufunga ndoa na Bi Dorise .D. Mboyerwa.
Ni matukio mbalimbali yaliyojiri nyumbani,Olukuri.

Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya shughuri kuanza.
Kushoto ni Bi harusi mtarajiwa Dorice akiwa na mmliliki wa mojka ya soloon ya kike alikopambwa.
SHANGWE ZIKIENDELEA
Wageni kutoka ukweni ,wazazi wa Bi Dorice wakiwasili nyumbani kwao na Bw harusi .
Murungi kichwabuta akionekana na furaha akipokea wageni kutoka ukweni.
Wageni waalikwa.
Kulia ni Mama Mzazi wa Bi harusi mtarajiwa Mrs Mboyerwa akiwa na mdogo wake.
Wanafamilia ya Mukulasi.
Dada wa Bw  harusi mtarajiwa.
Dada wa Bw harusi mtarajiwa.
Bw harusi mtarajiwa akikaribishwa ukumbini.
Kushoto ni Bi Murungi Kichwabuta akiwa Bi Paskazia Barongo.
Maswala ya burudani
Kulia ni mama Matungwa alihusika katika Mapambo ya ukumbi.
Ndugu wakitete kitu.
Ndafu akahusika,ilikuwa bonge la Bag Party.
Watarajiwa wakahusika kwenye ndafu.
Mtarajiwa katika pozz
Mzee Byorwango akatoa neno kwa upande wa familia ya Mukurasi,mbeni ni mzee Paulo Bashereka.
Mc Kahabuka akifanya yake.
CHAKULA TIME....
Wamarekani wakipata vitu natural.
Kushoto wa kwanza ni katibu wa kamati katika picha ya pamoja na wanafamilia.
Jamcobukoba.blogspot.com tunawatakia kila rakheri katika maisha yenu mapya ya ndoa mnayotarajia kuyaanza.