Wednesday, 6 August 2014

AJALI YA TIPA LA KUBEBA MATOFARI MAENEO YA KAGONDO (KWA WACHINA) BARABARA YA MUTUKULA

 Gari lenye namba za usajiri T 296 ANB limepata ajari  maeneo ya kata ya kagondo barabara ya Mutukula eneo la maarufu kwa Wachina.Gari hili lilikuwa limebeba matofari.Chanzo cha ajari hii kwa mujibu  wa walioshuhudia ajari wanadai ni mwendo kasi uliosababisha kuferi kwa breki nas mvua ilikuwa kubwa ikinyesha na kusababisha ajari. Hakuna aliepoteza maisha.
 Jitihada za kulivuta na kuliinua zikifanyika


 Askari wa usalama barabarani akiwa eneo la tukio
 Tipa  hili lilikuwa limebeba matofari
Jitihada za kuinua gari zikifanyika

Tuesday, 5 August 2014

PICHA ZA HARUSI ZA LULU NA JOTI; Mhh!

Msanii wa Orijino Komedi Joti na msanii wa filamu Lulu, wakikumbatiana katika picha za harusi, huku MC Pilipili wa harusi hiyo akishuhudia kwa shauku.
......sasa unaweza kumbusu bibi harusi!
...wamependezaje!!!!
Kujua undani wa harusi hii, usikose kuangalia ITV Jumamosi hii, saa 4:00 Usiku...Live!!!
PICHA: Josephat Lukaza

Monday, 4 August 2014

SEND OFF YA FLORIDA FLORIAN YAFANA

 Ilikuwa ni siku ya furaha kwa Bi Florida (kulia) akifanyiwa sherehe ya kuagwa, iliyofanyika nyumbani kwao Katendaguro Kiziba .
 Maandalizi  yakifanyika nyumbani kwa bw Harusi mtarajiwa kuelekea Katendaguro
 Wazee wakiwa tayari kuelekea  Katendaguro, Mzee Basibira  mwenye shati akiweka mipango sawa
 Mrs Kamzora akicheka na camera yetu
 Ndani ya gari  tayari kwa safari
 Kuwasiri Katendaguro
 Wazazi wa Bi harusi mtarajiwa
 Ni  pikika za hapa na pale dada wa bi harusi mtarajiwa akifanya mawasiliano
 ILikuwa  ni bonge la sherehe wadau mbalimbali walihudhuria
 Ikafika time msafara wa Bw harusi mtarajiwa ukawasili ukweni
 SALAMU NA HESHIMA KWA WAZEE IKATOLEWA
 Ni mkao wa heshima unapotafuta mke
 Ukafika wakati  wa kumvisha pete ya uchumba rasmi
 Nakuahidi wewe ni wangu tuuuuu
 Achanteee kwa kunivisha pete, mimi ni wako tuuuuu
 Mama mzazi wa Bw Harusi mtarajiwa
 Mwl Lusy Muda wote full shangwe
 Kijana Victor akitabasamu na camera yetu
 Baba na mama wa bi harusi mtarajiwa
 Bw bushira
 Bw Harusi mtarajiwa katika mwonekano mpya wa mavazi
 Bi Harusi mtarajiwa na matroni
 Mwenyekiti akafungua sherehe
 Vijana waliopamba kwa sare zao sens off
 Bi Harusi mtarajiwa akaenda kumtambulisha  mme wake mtarajiwa kwa kumpa zawadi
 AKAPEWA BONGE LA SAA MKANDA WA GOLD
 Wakati wa keki
 Kayunga,s Family
 Zawadi time
Ongera sana Florida kwa kumpata mme wako mtarajiwa Aderius Francis