Sunday, 6 July 2014
SABASABA BUKOBA LEO 6-7-2014 ,MAONYESHO YALIYOANDALIWA NA KAMPUNI YA KAIDEP
Camera yetu katika maonyesho ya sabasaba katika viwanja vya jengo la ccm Bukoba, Ikiwa imebaki siku moja kufikia kilele cha maonyesho tumetembelea mabanda mbalimbali muda wa asubuhi, tumeweza kujionea wajasiliamali, makampuni ya ndani na nje ya nchi yakiendelea na uhuzaji na utangazaji wa bidhaa mbalimbali.Maonyesho haya yamekuwa yakiandaliwa na kampuni ya KAIDEP
Mmoja ya banda ambalo limekuwa chachu na kuonyesha kwa vitendo namna wanavyomuwezasha mwananchi kuweza kutumia rasilimali zinazomzunguka kuweza kuzalisha vitu mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya kil;a siku katika jamii
Bw Nicholaus Jovin Basmaki akionyesha bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa na wajasilimari waliopata mafunzo katika kampuni yaMKJ ambayo imekuwa ikitoa mafunzo mbalimbali kwa wananchi ili waweze kuondokana na dhana ya umaskini wakati kuipitia MKJ unaweza kujikwamua na kujiendeleza kimaisha.
Bw Nicholaus mtendaji wa kampuni ya KMJ kwa upande wa Bukoba akitoa maelezo kwa Ndugu Revina Oscar Kikoyo kazi mbalimbali zinazofanywa na KMJ
Bi Revina akisoma vitabu mbalimbali vinavyofundisha ujasiliamari
Bidhaa za KMJ
Banda la Kasibante Redio
Tshirt zinauzwa katika banda
Mtangazaji wa Kasibante Redio Joyce Lobozi
Wadau mbalimbali
Mashine mbalimbali kwa ajili ya watu wenye kiharusi, pressure nk
Kazi za mikono
Lipo jiko la kisasa unatumia vipande vya mkaa 5 AU KUNI 3
Mh Mrema akivinjari viwanja vya sabasaba
Lake Gas nao wamo
Huduma ya chakula pia unapata
Mtangazaji wa Kasibante Redio Jane Rwomile
NMB nao ndani ya sabasaba
Benki ya weakulima
BANDA LA MOVIT
Banda la movit
Makapeti kila aina
Wakongo nao wamekuja
Huyu ni mbunifu kaja na biashara ya peke yake ,anauza huyoo hana mpinzani
Ni mpitompito
Sajid akiwa kazini
Ni pilikapilika sabasaba
Mwana ribeneke wa jamcobukoba.blogspot.com ndani ya banda la kasibante redio 88.5
Ni kuchukua matukio kila pande
wadau wakinunua kadi za salamu banda la kasibante redio
USIKOSE KILELE NI 7-7-2014 JUMATATU

Subscribe to:
Posts (Atom)