Marehemu Hassan Munjuri katika uhai wake,Marehemu aliuwawa siku ya jumamosi majira ya saa tatu usiku maeneo ya bukoba coop hotel(yasila hotel zamani) kwa kupigwa risasi na mtuhumiwa ajulikanae kwa jina la Nasoro Robert ambae ni mhandisi wa wilaya ya Bukoba Vijijini ambae ameshakatwa na police kwa uchunguzi zaidi.
Mjane wa marehemu w kwanza kulia akipewa pole na ndugu, jamaa na marafiki waliofika kuhani
Viongozi wa Bukoba veteran wakipanga jinsi ya kumuaga mwana veteran mwenzao
Kila mmoja anajiuliza kulikoni kilichotokea
Mmoja wa watoto wa marehemu, ameacha mjane na watoto wawili
Bw Mtensa akitafakari kifo cha Hans
Bw Mkude akitangaza utaratibu wa kutoa heshima za mwisho tarehe 10-12-2013 katika uwanja wa kaitaba kuanza saa 2.30 asubuhi na baada ya hapo mwili unapelekwa uwanja wa ndege na kusafirishwa kupelekwa Korongwe Tanga, Marehemu alikuwa ni mfanyakazi wa klampuni ya sigara Bukoba ambao wamekodi ndege ya kusafirisha mwili wake.
Pumzika kwa amani mpendwa wetu Hans, tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi
Monday, 9 December 2013
WALIMU WA JOSIAH GIRL'S HIGH SCHOOL BUKOBA WAPATA MAFUNZO NAMNA YA KUFUNDISHA MASOMO KWA KUTUMIA KIFAA MAALUM CHENYE MITAALA (OPPORTUNITY EDUCATION TABLETS)
Mkuu wa shule ya Josiah Girl's High School akiwa anaangalia kifaa chenye mitaala kwa ajili ya kufundisha wanafunzi,Semina ya kutumia vifaa hivi imetolewa na Opportunity Education Foundation
Walimu wakifuata maelekezo kutoka kwa Mkufunzi
Bw Jamal Mlewa-Programme Coordinator for Primary Schools akitoa maelezo kuhusiana na matumizi ya Tablets kwa ajili ya kufundishia wanafunzi
Walimu wakifuatilia kwa umakini mkubwa, vifaa hivi vitatolewa kwa wanafunzi pia ili waweze kujifunza masomo yao kwa urahisi
Bw Lynetlte Mattke- Assitant Project Leader akiangalia walimu jinsi wanavyofuata maelekezo
Kulia ni Bw Manuel Mattke- Project Leader akiwa na Bi Sandra Tetty -Tablet Program Manager
Somo limekolea
Mazingira ya Josiah Girl's High School, yenye kidato cha kwanza mpaka cha nne
Jamco video production katika mahojiano
Wanafunzi wa Pre Form one Josiah Girl's High School
Mahabara ya Shule kwa masomo ya sayansi
Wageni walitembelea maeneo mbalimbali ya shule
Mlete mwanao Josiah Girl's High Schoo, nafasi zipo kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha Tano.

Subscribe to:
Posts (Atom)