Saturday, 23 December 2017

HONGERA SULEIMAN NA RUTH KWA KUUKIMBIA UKAPERA.

 Ilikuwa ni shangwe na sherehe ya aina yake katika viwanja vya Stella Hotel (Walkgard Hotel)pale Bw Suleiman na Bi Ruth walipoamua kuukimbia ukapera na kuanza maisha ya ndoa, maisha yanayompendeza Mungu. Hongereni.
 Katika viwanja vya Stella Hotel au Walgard Hotel.
 Kwa hisia kali sana.
Jamcoblog inawatakia maisha mema ya ndoa.

Tuesday, 19 December 2017

TATU MZUKA WASHIRIKI AZIMIO LA KAGERA,USIKOSE KUCHEZA JUMAPILI 24-12-2017 MILIONI 100 KUTOLEWA .

 Ni vijana wenye nyuso za furaha wakiwa wamevaa T shirt za TATU MZUKA wakiwa katika kongamano la  Azimio la Kagera Mapinduzi ya fikra na uchumi, USIKOSE KUSHIRIKI KUANZIA SASA TATU MZUKA UTAJIPATIA MAMILIONI YA FEDHA,JUMAPILI HII 24-12-2017 MILIONI 100 KUTOLEWA, CHEZA KWA WINGI TATU MZUKA.
 HAPA NI TATU MZUKA TU.