Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amezindua rasmi u kiasi cha wanja wa ndege wa Bukoba leo 6-11-2017, akiongea na wanachi waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza katika viwanja vya uwanja wa ndege , Rais Magufuli amewashukuru wafadhili Benki ya dunia waliofadhili kwa asilimia themanini na seriikali kuchangia zaidi za cha bilioni sita, amewata wananchi kuutumia uwanja huu kwa ajili ya maendeleo kwa wana Kagera, wakati huohuo Rais Magufuli amesema uwanja wa Bukoba utapanuliwa zaidi ili ziweze kutua ndege kubwa za mizigo na itawezesha kusafirisha mazao mbalimbali, na kipato zaidi,wakati huo Rais Mgufuli amesema katika kutekeleza ilani ya uchaguzi ya ccm mwezi Januari mwakani serikali inasaini mkataba wa ujenzi wa meli mpya na Wakorea, katika ziwa victoria na kukarabati Meli ya MV Vctoria na Mv Butihama ili wananchi wananchi waondokane na tatizo la Meli.
Muonekano wa jengo la uwanja wa ndege
Moja ya ndege zinazotua uwanja wa ndege Bukoba.
Monday, 6 November 2017
Saturday, 4 November 2017
WASANII KUTOKA MAREKANI WATEMBELEA SHULE YA JOSIAH GIRLS HIGH SCHOOL KUKUZA URAFIKI.
Pamoja na kusoma kwa bidii na shule ya Josiah kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa kwa kufauru kwa kiwango cha juu na kuwa na matumaini makubwa ya kumkomboa mwanamke wa Tanzania, Josiah Girls High school pia hawako nyuma katika kukaza vipaji vya wanafunzi katika sanaa, Kundi la wasanii kutoka nchini Marekani wam,etembelea Shule ya Josiah na kubadilishana mawazo kwa kujionea jitihada zinazofanywa na uongozi wa shule katika kuhakikisha vipaji vya wanafunzi vinakuzwa, Kundi kutoka Marekani walipata wasaa wa kuonyesha na kuburudisha wanafunzi wa Josiah kwa kuimba na kucheza ngoma, ikiwa ni njia moja wapo ya kukuza urafiki na mahusiano mema.
Msanii kutoka Marekani akionyesha uwezo wake wa kuimba , kuheza na kupiga gita.
Wamerekani wakionyesha uwezo wao katika kupiga ngoma.
Wanafunzi wa Josiah Girls wakitoa burudani kwa wageni.
Mkuu wa shule akitoa neno la shukrani.
Msanii kutoka Marekani akionyesha uwezo wake wa kuimba , kuheza na kupiga gita.
Wamerekani wakionyesha uwezo wao katika kupiga ngoma.
Wanafunzi wa Josiah Girls wakitoa burudani kwa wageni.
Mkuu wa shule akitoa neno la shukrani.
Subscribe to:
Posts (Atom)