Monday, 24 July 2017

MA THEONESTINA JOHN BALYAGANGE WA IBOSA KASHANGATI BUKOBA,ASHEREKEA MIAKA 80 YA KUZALIWA.

 Cheko, furaha vilitawala katika familia ya Ma Theonestina John Balyagane wa Ibosa Bukoba vijijini waliposhuhudia tukio la kihistoria la kutimiza miaka 80 ya kuzaliwa,watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe, majirani na ndugu walikusanyika kwa pamoja kusherekea na kumshukuru mwenyezi mungu kwa kumpa umri mrefu wa kuishi Ma Theonestina.(katika picha akiwa na wanae.)
 Katikati Ma Theonestina katika ubora wake.
 Wanakwaya walioshiriki misa ya shukrani.
 Wajukuu
Jamcobukoba.blogspot.com inakutakia maisha marefu Ma Theonestina John.

ANATH(MAMA SHAMIRA) ASTAAFU UTUMISHI WA UMMA,HALMASHAURI YA BUKOBA VIJIJINI.

 Wa kwanza kulia ni Bi Anath (Mama  shamira) ambae alikuwa ni mtumishi wa wilaya ya Bukoba vijijini, katika picha yuko na  familia yake, mme wake na wanae wawili.
 shangwe.
 Bw Amidu  mwenye koti akiwa na wake zake.
 Bw Amidu akiwa na mke wake mkubwa Mama Amduni.
 Akiwa na mke mdogo.
 Mtoto wa Bi Anath,  Shamila akimshukuru na kumzungumzia mama yake , kumshukuru mchango mkubwa alioufanya katika malezi yake na familia kwa ujumla.
 Baadhi ya wafanyakazi wanaofanya fanya kazi na mstaafu.
 Bw Juvenary rafiki wa familia.
 Bw Kashasira, mme wa mstaafu akitoa neno la shukrani.
 Wafanyakazi wakitoa zawadi.
 Jirani , mama Rugusha akitoa zawadi.
 Muagwa akitoa neno la shukrani kwa wote aliofika kushiriki nae tafrija ya kustaafu utumishi wa umma.
 Shakiru akitoa shukrani kwa mama yake kwa kuwalea, na sasa wamestaafu,akasema wamemnunulia nyumba mama yao  Kigamboni  Dar.
Jamcobukoba.blogspot.com tunakutakia maisha mema, baada ya kustaafu.