Haikuwa rahisi wakati mchakato ulipoanza, namanisha maandalizi ya harusi, changamoto za hapa na pale, lakini mwisho wa siku tarehe 28-10-2016 Bw Renatus Rutta(Vijisenti) akafunga pingu za maisha na mkewe katika kanisa katoliki la Buyango Missenye Bukoba.
Vijisenti kabla ya kuingia kanisani kusaini mkataba wa maisha.
Wazazi upande wa Bw Harusi ,hakika blue ilinoga...
Baraka zilianza mapema akiwa nje ya kanisa.
Hatimae ibada ya misa takatifu ya ndoa ikaanza, si kawaida sana ndoa kuudhuriwa na mapadre 12 kwa wa kati mmoja,hii inaonyesha ukaribu wa Bw Vijisenti na viongozi wa dini.
Twende mke wangu mtarajiwe tutatimize ndoto yetu ya muda mrefu, tukadhirishie umati.
Kwa jina la baba....
Hesabu mwenyewe, harafu jiulize mwenyewe, harafu jipe majibu mwenyewe, kwako inawezekana?
Wanakwaya.
Wanakwaya.
MAUBILI YAKE YA NDOA YALIKUWA KIBOKO..
Chukua pete hii iwe.....
Makofi ya kutosha baada ya kuvishana pete.
Hongereni sana.
Saini hapa...
Mie shaidi...
Nakubariana nanyi.
Twende mke wangu.
Nyumbani kwa Vijisenti kwa ajili ya chakula cha mchana.
LETE FUJO ......
Endelea kufuatilia jamcobukoba.blogspot.com ujue nini kiliendelea baada ya hapa.
Sunday, 30 October 2016
Wednesday, 26 October 2016
BENKI YA POSTA TANZANIA(TPB) NA SBFIC WATEMBELEA MASHULE KARAGWE NA KUTOA ZAWADI.
Katika maadhimisho ya wiki ya kuweka akiba duniani,Benki ya Posta Tanzania(TPB) na SBFIC pamoja na washirika wake wametembelea shule mbalimbali za msingi na sekondari kujionea namna wanafunzi walivyoweza kufundishwa namna ya kujiwekea akiba benki kwa ajira ya matumizi ya badae,mbali ya kujionea namna wanafunzi hao walivyofundishwa, pia SBFIC walitoa zawadi ya kalamu na daftari kwa wanafunzi waliojifunza,Shirika la Karudeca kupitia Benki ya posta Tanzania wamekuwa wakitoa mafunzo katika shule hizo kwa kufadhiliwa na SBFIC.Shule zilizonufaika na mafunzo hayo ni Kayanga shule ya msingi, Ihanda sule ya msingi, Ndama shule ya sekonda, Kayanga shule ya sekondari na shule zingine wilayani Karagwe, Kilele cha maadhimisho ya wiki ya kuweka akiba kitafanyika siku ya Jumamosi 28-10-2016 katika uwanja wa mpira wa Kayanga kuanzia saa nne asubuhi,mbali ya viongozi mbalimbali watakuwepo pia wasanii maarufu Mpoke wa Ze COMED na Bk Sande.(katika picha ni mtendaji mkuu wa SBFIC makao makuu Dar-es-salaam Bw Marco Projosky akiuliza maswali wanafunzi.)
Katika ofisi za Karudeca maandalizi ya kutembelea mashule yakifanyika.
Vitabu vya mafunzo vilivyotolewa na SBFIC.
Bi Karunde akimpa zawadi ya shilingi elfu kumi mwanafunzi alijibu swali vizuri kuhusiana na namna ya kuweka akiba,
Bw Miki Meneja wa Benki ya Posta Karagwe akitoa somo kwa wanafunzi.
Zawadi zikitolewa.
Katika ofisi za Karudeca maandalizi ya kutembelea mashule yakifanyika.
Vitabu vya mafunzo vilivyotolewa na SBFIC.
Bi Karunde akimpa zawadi ya shilingi elfu kumi mwanafunzi alijibu swali vizuri kuhusiana na namna ya kuweka akiba,
Bw Miki Meneja wa Benki ya Posta Karagwe akitoa somo kwa wanafunzi.
Zawadi zikitolewa.
Subscribe to:
Posts (Atom)