Katikati ni mmiliki wa Bikaijampola hotel Bw Amdan Kajuna akiwa na mgeni rasmi (kulia) Afisa biashara wa mkoa wa Kagera Bw Isaya Tendega aliemuwakilisha RAS kAGERA wakiwa na mama Amdan wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Bikaijampola hotel Kemondo.
Muonekano wa jengo.
Mandhari ya ukumbi .
Katikati afisa utamaduni Bukoba vijijini Bw Kamuntu.
Ikisomwa risala.
Bw na Bi Kanati wakiwa kwenye ufunguzi.
Mh Diwani Omujumba.
Kushoto mh diwani Eriud akiwa na diwan Kamala.
Mh Diwani Richard akiwa na mkewe.
Mgeni rasm akitoa neno.
Mkono wa pongezi
Yamoto wakifanya yao.
Monday, 28 March 2016
Sunday, 20 March 2016
BIJAMPOLA HOTEL KUFUNGULIWA PASAKA 27-3-2016 KEMONDO, YAMOTO BAND KUTUMBUIZA.
Ni muonekano wa Bijampola hotel iliyoko Kemondo Bukoba inayofunguliwa rasmi 27-3-2016 siku ya pasaka,Ni hotel ya kisasa itakayotoa huduma za malazi, chakula na vinywaji,katika ufunguzi huu itakuwepo bendi kubwa na maarufu ya Yamoto bend kutoka jijini Dar es salaam, hiyo wakazi wa Bukoba pasaka mpango mzima Kemondo. Karibuni sana.
Kwa ndani.
Sehemu ya kuingilia.
Sehemu ya ukumbi kwa ajili ya mikutano, semina, harusi nk.
Ukumbi mzuri,mkubwa na unapendeza.
Muonekano wa chumba cha double.
Chumba cha single.
Hii si ya kukosa.
Kwa ndani.
Sehemu ya kuingilia.
Sehemu ya ukumbi kwa ajili ya mikutano, semina, harusi nk.
Ukumbi mzuri,mkubwa na unapendeza.
Muonekano wa chumba cha double.
Chumba cha single.
Hii si ya kukosa.
NYUMBA INAPANGISHWA KWA SHUGHULI ZA KIOFISI,IKO NYAMKAZI BUKOBA,KARIBU NA UWANJA WA NDEGE.PIGA SIMU 0715936119, AU +447525175337 AU 0755980477.
Nyumba nzuri ya kisasa na kubwa yenye vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula,jiko,store na yenye thamani za ndani(Furniture) inapangishwa kwa matumizi ya ofisi ,inapangishwa kwa kampuni,shirika au mtu binafsi kwa shughuli za kiofisi,ipo Bukoba mjini Nyamkazi karibu na uwanja wa ndege ,ina eneo kubwa ambalo unaweza kulitumia kulingana na matakwa yako,usalama wa kutosha,ina uzio umezunguka eneo lote la nyumba. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0715-936119 au +447525175337 au 0755-980477.
Ina eneo kubwa la kutosha.
UZIO UMEZUNGUKA ENEO LOTE LA NYUMBA.
PIGA SIMU NAMBA 0715-936119 AU+447525175337 AU 0755-980477.
Ina eneo kubwa la kutosha.
UZIO UMEZUNGUKA ENEO LOTE LA NYUMBA.
PIGA SIMU NAMBA 0715-936119 AU
Tuesday, 15 March 2016
GESI YENYE UJAZO WA FUTI TIRIONI 2.17 YAGUNDULIKA BONDE LA RUVU MKOANI PWANI
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhomgo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu kugundulika kwa futi za ujazo wa Gesi Tirioni 2.17 katika Bonde la Ruvu mkoani Pwani, katika eneo la Mamba Kofi One ikiwa ni moja ya ugunduzi ulifanywa na Kampuni ya Dodsal ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli na Tanzania (TPDC). Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Profesa Justin Ntalikwa.
Makamu wa Rais Uendeshaji na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Haydrocarbons and Power Limited (DODSAL), Tom Gray (kulia), akizungmza katika mkutano huo kuhusu kugundulika kwa gesi hiyo ambayo itachimbwa na kampuni yake hiyo.
Meneja Utafiti wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Gesi Tanzania, Venosa Ngowi (wa pili kulia), akizungumza katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu, Dk.Juliana Pallangyo wakiwa katika mkutano huo.
Mkutano ukiendelea.
Na Dotto Mwaibale
SERIKARI imetangaza rasmi kugundulika kwa futi za ujazo wa Gesi Tirioni 2.17 katika Bonde la Ruvu mkoani Pwani, katika eneo lijulikanalo kama Mamba Kofi One ikiwa ni moja ugunduzi ulifanywa na Kampuni ya Dodsal ikishirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Akitoa tamko hilo mbele ya vyombo vya habari ofisini kwake Dar es Salaam leo asubuhi, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alisema kuwa hadi kufikia Machi mwaka huu jumla ya gesi yote iliyogunduliwa nchini ni trioni 57.23.
"TPDC imerekebisha muundo wake tunataka iwe inajishughulisha na utafutaji wa gesi ya mafuta hivyo kufuatana na sheria ya petroli ya mwaka jana kazi zote zitasimamiwa na TPDC na haitaendelea kusimamia makampuni mengine badala yake tuameazisha wakala wakusimamia kazi ," alisema Muhongo.
Subscribe to:
Posts (Atom)