Mwili wa marehemu Joseph Mshumbusi umewasili Dar jana usiku tarehe 9-10-2015 Jumatano majira ya saa tatu usiku kutokea Dubai ambako mauti yalimkuta akiwa safarini akitokea Hong kong China,Marehemu Mshumbusi ataagwa na ndugu na jamaa wa Dar leo kuanzia saa saba mchana katika kanisa la Last Mt.akw Martha Mikocheni,Baada ya misa mwili utapelekwa kulala uwanja wa kimataifa Dar na siku ya Alhamisi saa tatu asubuhi mwili utapelekwa Bukoba kwa ndege ya kukodi,Kwa mujibu wa msemaji wa mipango ya mazishi ndugu Protas Ishengoma amesema marehemu Mshumbusi atazikwa siku ya Ijumaa nyumbani kwake kijiji cha Rulongo Kanazi kwa kutanguliwa na Ibada ya mazishi itakayoanza saa saba mchana,Marehemu katika uhai wake amekuwa karibu sana katika shughuli za kidini na hasa kanisa katoriki, hivyo inatarajiwa maaskofu, mapadre, waumini, na jamii kwa ujumla kujitokeza kwa wingi sana kumzika.
Marehemu Mshumbusi katika uhai wake akiwa na mkewe, Pumzika kwa amani Mzee Mshumbusi, mtu wa watu.utakumbukwa daima kwa upendo wako, utani wako, ucheshi wako, ukarimu wako katika jamii.
Tuesday, 8 September 2015
Sunday, 6 September 2015
RAIS MSTAAFU MZEE BENJAMIN MKAPA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM KATIKA JIMBO LA BUKOBA MJINI 8-9-2015 UHURU PLATFORM
Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamini William Mkapa atazindua kampeni za Ccm Kimkoa katika jimbo la Bukoba Mjini siku ya jumanne 8-9-2015 majira ya saa tisa alasiri katika uwanja wa mashujaa Uhuru platform.Mh Mkapa pia atazindua kampeni rasmi za jimbo la Bukoba mjini kwa kumnadi mgombea Ubunge Balozi Khamis Sued Kagasheki na wagombea wa majimbo mengine manane katika Mkoa wa Kagera.
Kushoto ni Balozi Kagasheki akiwa na mgombea urais Pombe John Magufuli.
Mgombea Ubunge Jimbo la Muleba Kusini Prof Anna Tibaijuka
Wananchi wote mnaobwa kujitokeza kwa wingi.

MAGUFULI AITEKA MOROGORO MKUTANO WAKE WAWEKA HISTORIA MOROGORO
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili
kwenye uwanja wa Jamhuri tayari kuhutubia wakazi wa Morogoro mjini
kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Wananchi wakimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifurahia ujio wa mgombea wa Urais wa CCM Dk.John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa CCM ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Ndugu Innocent Kalogeresi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Alhaji Abdalla Bulembo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri.

Wananchi wakiwafurahia wasanii wa Tanzania wanaounda umoja unaofahamika kama Mama Ongea na Mwanao.
Mzee Yusuph Makamba akisalimiana na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Jamhuri, kulia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete.
Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kwenye mkutano wa Kampeni
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Alhaji Abdallah Bulembo akiwahutubia wakazi wa Morogoro mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa Mgombea wa CCM amejitosheleza kuongoza nchi yetu.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa Morogoro mjini ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa mchakato wa kumpata Mgombea wa Urais ulikuwa wa haki na kila mjumbe alipiga kura.
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakazi wa Morogoro mjini ambapo aliwaambia wananchi hao hana mashaka na mgombea urais wa CCM na kuwataka wananchi hao kumpigia kura siku ya oktoba 25.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipanda ngazi za jukwaa kwa kukimbia mbio tayari kwa kuhutubia wakazi wa Morogoro mjini.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Morogoro mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika uwanja wa Jahmuri.
Mzee Yusuph Makamba akipanda ngazi za jukwaa tayari kuhutubia wakazi wa mji wa Morogoro.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba akizungumza na wananchi wa mkoa wa Morogoro wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais kupitia chama hicho Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Yusuph Makamba akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea wa urais kupitia chama hicho Dk. John Pombe Magufuli uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro

Sunday, 30 August 2015
KWAYA YA MT JOHNBOSCO BUKOBA YATIMIZA MIAKA 33,JUSTUCE RUGAIBULA ACHANGIA MILIONI 20,ZAHITAJIKA MILIONI 86.6 KUANZISHA STUDIO YA KUREKODI.
Ilikuwa ni siku kubwa na ya kihistoria kwa kwaya ya Mt Johnbosco Bukoba kutimiza miaka 33 tangu kuanzishwa kwake,liliandaliwa tamasha kubwa la nyimbo za kumsifu na kumuabudu mungu lilishirikisha kwaya mbalimbali na vikundi vya burudani ,mgeni rasmi katika Tamasha hilo alikuwa ni Bw Justuce Rugaibura alieambatana na mkewe maarufu Graice one, mama yake mzazi, ndugu jamaa na marafiki.
Bw Justuce Rugaibula akiwa na familia yake akitangaza mchango wake wa kusaidia uanzishwaji wa studio ya kurekodi kwa ajili ya kwaya ya Mt Johnbosco Bukoba kuondokana na gharama kubwa wanazotumia wanapokwenda kurekodi nyimbo zao nje ya Mkoa au nje ya nchi, kiasi cha shilingi milioni 86.6 kinahitajika kwa ajili ya ufunguzi wa studio hiyo, Bw Justuce Rugaibura alichangia kiasi cha shilingi milioni 20 na kuhaidi kushilikisha rafiki zake wa karibu wa ndani ya nchi na nje ya nchi ili kiasi chote cha pesa kinachohitajika kiweze kupatikana.
Mwenyekiti wa kwaya ya Mt Johnbosco Bukoba Bw James .P. Rugaimukamu akitoa neno la kuwakaribisha wageni.
Kwaya ya Mt Johnbosco Bukoba wakitumbuiza.
Picha ya pamoja na mgeni rasmi.
Shangwe na vifijo vilitawala pale mgeni rasmi alipotamka kuchangia kiasi cha milioni 20 na kutafuta wafadhili wengine.
Mrs Justuce Rugaibura(kulia) katika ubora wake na tabasamu pale mzee anapofanya mambo ya msingi kwa jamii na mambo ya kumpendeza mungu.
Hapana chezea Kwaya ya Mt Johnbosco Bukoba na hasa wakiwa jukwaani.
Pongezi nyingi zikatolewa kwa mgeni rasmi,kitu 20 m si mchezo na hasa ukizingatia watu wanapeleka hati za nyumba benki ndio wapewe,Bw Justuce Rugaibura ni mfano wa kuigwa, kutoa ni moyo....
Mzee kipingiri katika ubora wake.
Wafadhili mbalimbali wakachangia.
jamcoblog.inawapongeza kwaya ya Mt Johnbosco kwa kutimiza miaka 33 kwa kuanzishwa kwake, endelea kufuatilia kwa matukio mengine ukurasa wetu wa facebook.

Subscribe to:
Posts (Atom)