Ni majira ya saa tatu usiku Jumanne 3-3-2015 mwili wa marehemu Japhet Kabyemela unawasili Bukoba Mjini na kupelekwa kuifadhiwa Mortury hospital ya Mkoa wa Kagera na atazikwa Jumamosi 7-3-2015 kijijini kwake Kanyego Kashenye.
Ni gari lililoleta mwili wa marehemu kutokea Mwanza.
Ni mchungaji na wananchi mbalimbali waliofika hospital kupokea mwili.
Mwili ukitolewa kwenye gari.
Mjuni Katalaiya ,katika majonzi.
Mtoto wa marehemu , mwl Peace akipokelewa.
Mtoto wa marehemu.
Mtoto wa marehemu.
Francis Mutungi mwanafamilia.
Ibada fupi wakiwa Mortury.
Nyumbani kwa marehemu Bukoba mjini.
Wazee wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Mwl Peace akiwasili nyumbani, ilikuwa ni mayoee.
Majonzi.
Ni ndugu, jamaa, majirani na marafiki wakiwa katika wakati mgumu sana wakiwapokea watoto wa marehemu mara baada ya kuifadhi mwili hospital ya Mkoa Kagera, mazishi yatafanyika Jumamosi 7-3-2015 Kanyigo Kashenye Bukoba vijijini.
Tuesday, 3 March 2015
MZEE JAPHET KABYEMELA AAGA DUNIA KATIKA HOSPITAL YA RUFAA BUGANDO.
Ni picha ya marehemu Japhet Kabyemela wakati wa uhai wake, Marehemu ameaga dunia jana usiku katika hospitali ya rufaa Bugando Mwanza ,Kwa Mujibu wa maelezo ya mtoto wa marehemu Mwalimu Peace Kabyemela mwili wa marehemu unasafirishwa kuelekea Bukoba na utawasili Bukoba leo jioni na Mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Kanyigo Kashenye .Tarehe ya mazishi itatangazwa baada ya familia kukubariana mara mwili utakapofika Bukoba. kwa sasa msiba upo nyumbani kwa marehemu Bukoba mjini kata ya Miembeni karibu na Nbc Club.
Enzi zao uhai wao na mke wake.
Waliokaa wa kwanza kulia ni marehemu katika ujana wao.
Katika ujana wake.
Ni waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Bukoba.
Dada wa marehemu.
Waombelezaji wakisubiri mwili kufika.
Majirani wakiandaa chakula.
Tutaendelea kuwaletea matukio mara mwili wa marehemu utakapowasili jioni ya leo.
Enzi zao uhai wao na mke wake.
Waliokaa wa kwanza kulia ni marehemu katika ujana wao.
Katika ujana wake.
Ni waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Bukoba.
Dada wa marehemu.
Waombelezaji wakisubiri mwili kufika.
Majirani wakiandaa chakula.
Tutaendelea kuwaletea matukio mara mwili wa marehemu utakapowasili jioni ya leo.
Subscribe to:
Posts (Atom)