Ni Mr & Mrs Daniel Ndyekobora wanaonekana na nyuso za furaha,muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la kilutheri usharika wa Ibura Bukoba Mjini na badae sherehe ya kuwapongeza ilifanyika Kanyigo Bukoba.
Wakiingia kanisani kula kiapo.
Mchungaji akiendelea na Ibada.
Mme wangu nahaidi mbele ya umma huu uliombele yetu na kila kona ya mahala hapa patakatifu kukupenda, kukuheshimu, kukulinda katika raha na gharika la aina yoyote kwa kipindi chote tutakachoishi hapa duniani.
Mkataba tayari.
Siku hizi mapaparazi kibao.
Kushoto mdau mkubwa wa jamcoblog Bi Erica katika picha ya pamoja na maharusi.
Patron na Matron wakakumbushana enzi hizooooo.
Full shangwe.
Wakiingia ukumbini kijijini Kanyigo.
Mchungaji akafungua sherehe kwa sala.
Wapambe pendeza sana.
Ikakatwa keki.
Stail ya kurishana,ni shidaaaa.
Hongera maharusi.
Mungu awabariki katika maisha ya ndoa.
Tuesday, 6 January 2015
MA GERARDINA FELIX MBONEKO AZIKWA NYUMBANI KWAKE KANYIGO BUKOBA.
Wanafamilia.
Mama Singh akiwa katika majonzi.
Bw Ben Kataruga akiteta na Bw Deo Rugaibura.
Mwenye Tshirt ya mistari Bw Divo Rugaibura akiwa katika ibada ya mazishi.
Padre akiendelea na misa ya mazishi.
Mume wa marehemu Doctor Mboneko akitoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu mke wake.
Mama Singh akifunika sura ya marehemu baada ya watu kutoa heshima za mwisho.
Mwili ukipelekwa eneo la maziko.
Ulitoka mavumbini na utarudi mavumbini, ni wakati mgumu sana kwa ndugu , jamaa na marafiki.
Watoto wa marehemu.
Jamcoblog inawapa pole ndugu, jamaa na marafiki katika kipindi hiki kigumu,mungu awape subira na uvumilivu.
Subscribe to:
Posts (Atom)