Ni nyuso za furaha Victor na Mkewe Lydia mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa katoliki la Kawe jijini Dar.
Baba mdogo wa Victor mzee Rugemalira akiwasili viwanja vya kanisa la kawe
Victor akiwa na Mr & Mrs Rugemarila wamiliki wa kampuni ya mabibo wine.
Katibu wa kamati Bw John akiteta na Bw Harusi
Mama wa BW NA BI HARUSI WAKISALIMIANA
Bi harusi akiwasili eneo la kanisa la kawe
Nitakuwa nawe katika magonjwa na afya
Nitakupenda mpaka kifo ndio kitatutenganisha
Hongera mwanangu
Helkopta ikiwa imetua viwanja vya kawe kuwachukua maharusi
Rubani wa helkopta
Maharusi wakaletwa na bonge la benz
WADAU WALITOKABukoba kuja kushuhudia
Hapanachezea Victor na Mama Vanesa,si mchezo
queen akiangaika
Watu wakataka kupiga picha na rubani mzungu,ni hatariiiii
Leo ni historia mpya katika maisha yetu
Twende zetu tukapasue angaaa
Queen akauza na Rubani
Tupige mmoja
Nasieeeee
Chezea helkopta weweeee
Full Shangwe
Vijana wakiwa kazini
Kila mtu na simu yake
Wakapaa maharusi kuelekea sea cliff kwa lunch
Endelea kufuatilia matukio,nini kiliendelea Sea cliff na mlimani city.
Saturday, 13 September 2014
Wednesday, 10 September 2014
WASANII KASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL NA AJ UBAO KUNOGESHA TAMASHA LA UTALII NA MIAKA 4 YA VIJIMAMBO
Msanii wa Bongo Movie Aunty Ezekiel kunogesha tamasha la utalii siku ya Jumamosi Sept 13, 2014
Msanii wa Bongo flava Kassim mganga nae kuwepo.
AJ Ubao
Vijimambo
Blog kwa ushirikiano wa pamoja na Ubalozi wa Jamhuri ya Muunagano wa
Tanzania ikiwemo Jumuiya ya Watanzania DMV inawaletea miaka 4 ya
Vijimambo ikiutangaza Utalii wa Tanzania na kukemea ujangili siku ya
September 13, 2014. Njoo ujivunie maliasili na utalii wa nchi yako sote
kwa pamoja yunaweza kuitangaza nchi yetu na kukemea ujangili kwa kauli
moja yenye nguvu inayosikika kimataifa.
BUNGE MAALUM LA KATIBA LAENDELEA NA MJADALA WA RASIMU YA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani
ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu
ya Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani
ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu
ya Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani
ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu
ya Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani
ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu
ya Katiba.
Baadhi ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiingia ndani
ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 kwa ajili ya kuendelea na mjadala wa Rasimu
ya Katiba.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta
akitoa maelezo muhimu wakati wa mjadala wa Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014
Bungeni mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Angellah Kairuki
(kushoto) akiwa na Mwakilishi wa Watanzania waishio Marekani, Mhe. Kadari
Singo wakifuatilia mjadala ndani ya Bunge hilo leo 10 Septemba, 2014 Bungeni
mjini Dodoma.
RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVEN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa Rais Museveni Mkuu wa
Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda mfupi baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi
Ernest Mangu.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa
Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi
wa Tanzania.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakifurahia ngoima za utamaduni.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais
Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais
Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Subscribe to:
Posts (Atom)

.jpg)




